- Thread starter
- #21
nmekupata marejesho ila si kila mtu yuko tz na pia si kila mtu anaudhuria kanisani au msikitini,kwahiyo ukifanya kama faiza anavofanya kutufunza yale ayajuayo juu ya mada inasaidia sana,kwa ujumla jamii inanufaika.
Kama unaweza tuelezee ni nini mnafundishwa kama kina uhusiano na mada hapo juu.
Mpaka sasa kwa maelezo ni kwamba wanadamu(waislamu) ndo wametunga haya majina ya siku na msingi wake ni waarabu kutokana na dini na lugha waliyoileta.na influence yao imekuwa kali mpaka hata wasioamini uislamu wamejikuta wanatumia majina hayo.