ukishangaa ya musa.......................Sasa wanawake wana uwezo wa kuamua kupata hedhi au la, baada ugunduzi wa vidonge ambavyo humfanya mwanamke asizione siku zake kabisa. Vidonge hivyo ambavyo vimefanyiwa majaribio kwa muda mrefu vimebainika kuwa na uwezo katika suala hilo. Kati ya wanawake waliotumia vidonge hivyo, asilimia 60 hawakuona kabisa damu kwenye siku zao, wakati asilimia 20 waliona vidoa tu. Hii ina maana kwamba, kati ya kila wanawake kumi wanaotumia vidonge hivi, wanawake wanane wanafanikiwa kutoziona siku zao.
Vidonge hivyo vinavyofahamika kwa jina la Lybrel, ni vya kwanza duniani, ambavyo vimemudu kuondoa kabisa damu ya hedhi kwa mwanamke. Kampuni ya Wyeth Pharmaceuticals, ambayo ndiyo iliyofadhili utafiti huo, inasema vidonge hivyo ambavyo vitauzwa kwa bei rahisi na ambavyo hutumiwa kwa dozi ndogo havina madhara kwa watumiaji. Lakini hata hivyo naomba ieleweke kwamba kauli hiyo ni ya kutarajiwa sana kutoka kwa mtengenezaji wa bidhaa yoyote, iliyo au isiyo na madhara.
Lakini, wataaalamu wa masuala ya wanawake, wanasema mwanamke kuziona siku zake siyo lazima, yaani anaweza kuacha kuziona na hilo lisimletee madhara yoyote, labda tu kama ameacha kwa kuuugua. Mpaka sasa haijafahamika kama vidonge hivi vimeshaingia nchini, lakini naamini taarifa hii itapokelewa kwa furaha na si kwa wanawake tu, bali pia na wanaume ambao swala la hedhi kwa wake au wapenzi wao limekuwa kero.
Mnaweza Kubofya hapa kwa habari zaidi: http://contraception.about.com/od/prescriptionoptions/a/Lybrel.htm
Wewe unataka kutuharibia sasa! Wameshasema hazina MADHARA bana!
Vinawafaa machangudoa wanaojiuza kila siku, probably na porn actresses we unafanya mchezo na uumbaji? Yani ni kama wale wanaofanya plastic surgery kubadili jinsia zao na kumeza vidonge vya kuwarutubisha lakini huwezi sikia yeyote alibadili maumbile akazaa au kuzalisha never
ANGALIZO: Kuna wanawake hupenda sana kuiga na kujaribu mambo kama ambavyo kuna maziwa na mahips+mabuttoks ya kichina, wapo watakao zitumia wenye mwelekeo wa kila la ngozi nyeupe zuri..
Ee mi bila kuona iyo kitu kila mwezi sijapata amani kabsaaaa
Wanataka kuchezea viwanda vya kutengeneza binadam hawa jaman.Mi niliwah kumshuhudia dada angu alikuwa ana2mia dawa za majira halafu zikawa zinamfanya acpate period tena akawa ananenepa na kunawili vibaya mno mpaka akawa anajisifu. Siku moja alikuja kutokwa damu zilikuwa zinatoka kama bomba nusura 2mpoteze.Tangu cku hy niliapa ki2 majira no mwilini mwangu.Acha tu mama ibu, vitu vingine ni laana ati... Wanapingana na Mungu, sie tunajua kwa nini imekuwepo kwa wanawake tu na sio kwa wanaume?.. Afu mtambuzi anatutaka tuizuie khaaah, hiyo haikubaliki kama Malaria.
hii mimi sioni kama habari njema kwa kina mama kwani Mungu anajua umuhimu wa period kwa wanawake,hiyo inawapambanua ni viumbe wa tofauti na wanaume wanajisikia vema,wanawake wanapokosa huwaza sana kulikoni.napenda ujue kuwa ndiyo maana kuna kikomo kwa mwanamke kupata period(menapose) kaunzia age 45-,ukiinterfear mzunguko huo itakula kwako,na hautaupata milele,kaulize waliotumia vipandikizi mpaka leo wengine wanahaha kupata watoto wasipate, mama ngina asiguse kitu hii.
Sasa watawezaje kujua ovulation day ikiwa wanataka kupata mtoto? Then inafanya kazi kwa muda gani? (anameza kila mwezi au kuna interval yoyote?
Duh..........umenigusa mno
wiki iliyopita kuna siku kama nne mfululizo nilikuwa so down
na nilikuwa sitaki hata kupokea simu ya mtu for no good reason..
Yaani nilikuwa sina interest na chochote
ni kula kulala,tv na internet
hata kuzungumza niliona uvivu
kwa kuwa nilikuwa nina matibabu ya malaria nili connect na tiba hiyo
but nilikuwa najiuliza mbona huwa hainitokei hivyo mara zote ninapougua malaria???
Could it be..............?????????????????
lara 1 have you seen Rose1980 lately? Nimemmisije!
Halafu The Boss lini unakuwa period?
snowhite Asante kwa kuufunua uzi huu, naona wakaka wamegoma kufanya utafiti au sijui hawajapenda results?
Hili swala la mwezini si kina mama tu ndio wanaoathirika hata vichaa pia, na since kila mtu anakainsanity fulani nina amini hata Kaizer na Asprin wanaingia mwezini! LOL
King'asti na Kongosho mpo?
Duh..........umenigusa mno
wiki iliyopita kuna siku kama nne mfululizo nilikuwa so down
na nilikuwa sitaki hata kupokea simu ya mtu for no good reason..
Yaani nilikuwa sina interest na chochote
ni kula kulala,tv na internet
hata kuzungumza niliona uvivu
kwa kuwa nilikuwa nina matibabu ya malaria nili connect na tiba hiyo
but nilikuwa najiuliza mbona huwa hainitokei hivyo mara zote ninapougua malaria???
Could it be..............?????????????????[/QUOTE]
Noooooooooooooooooooooooo!