Maalim Seif anakagua miradi ya maendeleo Tz bara kama nani?

Siku zote mwizi humhisi kila aliye jirani yake kuwa ni mwizi, mbaguzi hudhani kila aliye karibu nae ni mbaguzi. Wazenjibar acheni ubaguzi, mkiwa bara mnadai muungano, kujenga maghorofa, biashara zisizolipiwa kodi na mambo kadha wa kadha, tukisema oooh wabaguzi. "MNAVYOCHOMA NYUMBA ZA WABARA HUKO KWENU NA KUWAPA SHIDA USIKU NA MCHANA SIO UBAGUZI?
 
kufungua miradi si tatizo maana hata wageni wanaweza karibishw ana kufungua ,miradi ya maendeleo,TATIZO KUBWA NI KWAMBA WANAHUSISHWA KWENYE MAMBO MENGI YA TANGANYIKA YASIYO WAHUSU,NA WAO KUJIONA KAMA VIONGOZI WA TANGANYIKA,HII KITU NAICHUKIA SANA
 
rais wa china alipokuja kufungua uwanja wa taifa alifungua kama nani?
Hilary clinton alipotembelea kukagua symbon power na kule kibaha alitembea kukagua kama nani?
Usiwe unaleta mada mfu wewe au ulitaka nawewe uonekane umeanzisha thread?

Probably umesahau kuwa miradi hii wao wameifadhili au imetekelezwa kampuni kutoka nchini mwao.
Kama hujui kuwa CUF ni CCM B basi umepotea.Hawa wabaki na ndoa yao huko Zanzibar,huku bara no.
Afu watanzania bana,cjui kwa nini tunapelekwa pelekwa tu.Inaniuma sana.
 
rais wa china alipokuja kufungua uwanja wa taifa alifungua kama nani?
Hilary clinton alipotembelea kukagua symbon power na kule kibaha alitembea kukagua kama nani?
Usiwe unaleta mada mfu wewe au ulitaka nawewe uonekane umeanzisha thread?

Rais Hu alipokuja kufungua uwanja kumbuka ulijengwa na PRC, Bi Hillary alipokwenda tembelea Symbion ni mali za wamarekani wenzie "wawekezaji"
Seif Tabora ni nani na mradi wa nani pili katiba yetu haimtambui kama kiongozi siyo CDM ni Katiba ya JMT 1977 isiyomtambua, msilaumu watu tu
 
Kwa mujibu wa sheria iliyounda vyama vyingi, Raisi wa Zanzibar anapokuja bara ana hadhi ya waziri wa serikali ya Muungano, sasa sijui huyu makamu wa raisi ana nafasi gani, manake haya mambo yanafanyika kwa mtindo wa zima moto.
 
Hawajakoma hee!, mwache tu accross hapo Dodoma na yeye turudishe maiti Zanzibar, wanafikiri tuna hasira nao kidogo
 
seif anaweza kuja bara na kufungua miradi ya maendeleo kwa kuwa hii ni serikali ya muungano ambapo zanzibar ni sehemu ya muungano, acha Jazba na ubaguzi, cdm mmelikoroga mtalinywa.
user-offline.png
Goheki

Yesterday 00:01
#2 Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 23rd August 2011
Posts : 15

Rep Power : 0


[h=2]
icon1.png
Re: Maalim Seif anakagua miradi ya maendeleo Tz bara kama nani?[/h]
Mkuu hilo swali kwa kweli linahitaji mjadala wa kitaifa,na hapa ndipo unapona katiba yetu na muungano wa picha za wazee wetu unamapungufu makubwa sana.Sijui msafara wake unahudumia na fedha za upande upi wa nchi,kama ni bara ni chini ya wizara gani?na bajeti hiyo ilipitishwa na bunge lipi?je yupo kiserikali au kichama?maswali ni mengi mno.
Soma kwa makini maneno yaliyopigiwa mstari ndio urudi.usiwe masaburi.​
 
Hapa kuna maswali mengi na labda wataalamu wa katiba watatusaidia.

Hivi mkuu wa mkoa wa Tanga, Meja mstaafu Said Kalembo anaweza kufanya ziara ya kiserikali huko Unguja au Pemba???

RC ni kiongozi wa Mkoa na si wa Kitaifa?
Kiongozi wa kitaifa ni kuanzia katibu mkuu na mawaziri mpaka rais na makamo wake.
 
Kwa mujibu wa sheria iliyounda vyama vyingi, Raisi wa Zanzibar anapokuja bara ana hadhi ya waziri wa serikali ya Muungano, sasa sijui huyu makamu wa raisi ana nafasi gani, manake haya mambo yanafanyika kwa mtindo wa zima moto.

Ana hadhi kama waziri mkuu au makamo wa rais wa Muungano kwani naye anakuwa na ulinzi ukisindikizwa na ving'ora katika msafara wake. Na ni lazima apokelewe na mkuu wa mkoa sio DC
 
kufungua miradi si tatizo maana hata wageni wanaweza karibishw ana kufungua ,miradi ya maendeleo,TATIZO KUBWA NI KWAMBA WANAHUSISHWA KWENYE MAMBO MENGI YA TANGANYIKA YASIYO WAHUSU,NA WAO KUJIONA KAMA VIONGOZI WA TANGANYIKA,HII KITU NAICHUKIA SANA

Kwani Tanganyika kuna Serikali? inaongozwa na nani?
 
<font color="#000000"><font size="2"><span style="font-family: verdana">Ni kiongozi wa Bakwata na mwakilishi wa ccm na cuf kwenye muungano! Lo ccm na cuf ni mama na mtoto wake</span></font></font>
<br />
<br />
 
Mie naona alikuja kama mkuu wa wilaya kwa kuwa nchi ni moja(TANZANIA) na "rais" ni mmoja kikwete, then shein ni kama mkuu wa mkoa na wasaidizi wake ndo huyo seif na mwenzake yule balozi idd..hakuna duniani nchi yoyote Shein atakaa aende ajitambulishe eti ni rais
 
We ndugu yangu unalalamika nini? Siulishaambiwa kunandoa ya mkeka kati ccm na cuf, sasa we unaona ajabu gani mke kukagua shughuli za maendeleo za mmewe! Utaonekana kituko bure hii ndoa wachungaji na mashehe hawaijui sembuse wewe. Teh teh teh teh teh teh teh teeeh!
 
Kufungua mbona hata kiongozi wa nchi za nje anaweza kuja na kufungua miradi.
Hayo ni mambo madogo wala usiwe na jazba.

Swala hapa msafara wake unagharimiwa na nani au wizara ipi. Na je budget hiyo iliidhinishwa na Bunge. Maana si kiongozi wa bara.
 
Back
Top Bottom