Hili liwe fundisho kwa wale wanaojipeleka kichwa kichwa kushabikia fujo za magwanda. Ni ujumbe tosha kwa machalii....wasikubali kudanganywa tena na siasa uchwara.
Kwa sababu Mwenyekiti wa CCM,Katibu Mkuu,Mwenezi,wa Fedha na Mambo ya nje wote ni madebe shinda hiyo waliona ndio njia halisi ya kuwatisha makamanda wengine watakaopenda kujitolea kufanya kazi za chama,lakini hakika wameshindwa angalia hizo picha hapo juu,vijana kwa majonzi makuu,wapo pamoja na uongozi wa Chadema kwenye mazishi,wana CCM Igunga wameshikwa uoga hakuna hata aliyehudhuria mazishi hayo,tayari Magufuri,Kafumu,Mkapa,Kikwete Mwigulu,Wassira Nape Mnauye,na wana CCM uchwara wametengeneza chuki kubwa baina ya wananchi huyo mbunge wa CCM ameingia kwenye kundi la wauaji damu ya kamanda Masoud haitaisha bure,kwa nini hakumzika kwa kuficha kwenye mapori ni roho yake ilikuwa inakataa,na hakika waauaji,majambazi chama cha magamba kimejipalia mkaa Igunga
Viongozi wa CCM na wanachama wao wamepotoka na dhana ya kwamba watanzania ni waoga na hawafanyi maamuzi ,hii dhana itawaponza kuna siku wengi watakimbia nchi wengine watakimbia kwenda kuishi kwenye mahandaki,huu utamaduni wa kuteka watu nyara kwa ajili ya kisiasa CCM wamefanya kule monduli,walimteka diwani wa Arusha huko Igunga kwa hiyo hizo ni zao,na sisi wananchi hatutakaa kimya kwa sababu ya watawala mumiani wanywa damu za watu kama CCM
Viongozi wa CCM haswa mwenyekiti wa sasa Jakaya KIkwete ni mchawi wa usalama wa nchi yetu ,sijui tulimtoa wapi huyu binadamu mwenye roho ya kuua ili mradi abaki madarakani kwa namna yeyote ile mroho wa madaraka ,mtu mwenye visasi na dhuluma,damu za wote wanaokufa kwa sababu ya kutekeleza amri zake zitamrudi mwenyewe bado kitambo kidogo tuu naamini sauti za watu na kilio cha wananchi na wito wa wananchi ni sauti ya Mungu na Mungu hamtupi mja
Mungu aweke roho yake peponi amini