Recent content by Malyamungu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano Makubwa Kufanyika Kesho Kupinga Mahakama kutumiwa kisiasa

    Any govt. must be accountable without distinction to its own people. Mbona mnababaika jamani? eti mimi ni mwalimu na kwa vile naishabikia CDM nisipate mshahara?. Katiba gani hiyo? mbona haijui haki za binadamu na hwaki za raia? duuh
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Willbroud Slaa on his TWITTER account today!

    WAy forward maana yake jiandae k,upiga kura kule ARS. Mimi nimerchoka kuibiwa na CCM. This is it!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

    nuygiuytl7t;l
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

    Arusha tumezoea mabomu hawatutishi ati na pia ugomvi ni jadi yetu kwa hiyo hakuna noma. Kama wewe ni mzaliwa ARS alafu huna Ngeu wewe ni k tuu maN
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

    We love you Lema !!!!!!!Go Lema Go go go! hawajui ARS hao. Waliopiga kura kule A. Mashariki ndo watakaopiga kura ARS town. Na ikumbukwe ndugu wa wale wa A. Mashariki ndo hao hao walioko mjini na ndo wapiga kura. Pia hata wale ambao wametokea MS town ndugu zao ndo hao wa A town. Nikiwamo na mimi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Wazee siko nchini na kwa uwezo wa JF huwa napata nguvu sana kupitia JF hongereni nanyi JF kwa kutupa hizi nafasi za mtandao. Nimefarijika sana kuona Watz wenzangu wanaanza kuuchukia wizi na ufisadi kwanza kabisa nkiwa natanguliza pongezi kwa Lema (MB), Mbowe (MB) na Slaa (MB) kwa kuapa kutoibiwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli amchana Mkulo

    Tutazifupisha safari za nje ya nchi kama za rais na watu kama wa TANAPA ili barabara zijengwe na kwa wakati. Fedha zipo ila ' white colour crimes' has been increased overtime. Ungesema tu Magufuli is fighting with unseen enemy who is hidin behind the cartens of CCM's 'ufisadi' manifesto, i would...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

    This is sooo good watu wanavuta raha and pia nimekumbuka home nakata tkt wiki ijayo mangi. Asante kwa ujuzaji
  9. M

    JamiiForums Tanzania Najuta kutotembea na mke wa rafiki yangu

    Chomoka arawa!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbowe aongelea yaliyojiri Ikulu

    Kwani tuklija kwako hatuwezi kukalia makochi? au ukatupatia juice au hata chai jamani? au sukari bado haijashuka bei nini mwanangu kiasi hata cha kuwapa wageni wako chai?? duu. Vitu vya kawaida sana mbona?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbowe aongelea yaliyojiri Ikulu

    I like that, alafu umempa ukweli. Hii ngoma ya katiba kikwete kadandia Treni iliyokuwa kwenye spidi kali sasa angalia kasaini katiba yenye mapungufu na pia hapa kadanganywa. Maskini Tanzania....
  12. M

    JamiiForums Tanzania Arusha bado ngoma nzito kwa JK!

    Tumechoka. Na JK anajua. na RC anajua kavamia jiji. kama CCM haitaamini waje kwenye kampeni waone watakavyoachwa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makala kwa wahitimu udom 2011

    basi kama siasa hazifai vyoni msingesoma political sayansi na economy. Infact politics is everythings tukiwa vyuoni twaangalia namna 'sociological imagination' vs 'collective forces' za watu wa jamii ile au wanasiasa the approach are being complied and how are being responded to assist the...
  14. M

    JamiiForums Tanzania I have never seen,a woman who loves

    Kma wapi mbona huweki jamvini? nami nawataka nimechoshwa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Qatar yaishinikiza Tanzania kuitambua serikali mpya Libya?

    Nchi ya Qatar ni ghali hata kuishinda USA kuishi. Je tukiwaamrisha wasivae kanzu na hijabu watatufanyaje kwani?
Back
Top Bottom