Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
uliza swali lako usihofu.Na ndio maana Mchambuzi.... IMO mwanaume wa kweli anajua limit ya kiasi cha pombe ambacho kinamfaaa..... Hio picha ni aibu kwa kweli, hua nawaponda saana watu wanaoponda watu maarufu kwa mistakes za mastaa, But this is beyond na naungana na hio group.
Do you mind nikikuuliza kitu?