Maandamano Makubwa Kufanyika Kesho Kupinga Mahakama kutumiwa kisiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano Makubwa Kufanyika Kesho Kupinga Mahakama kutumiwa kisiasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chimunguru, Apr 5, 2012.

 1. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Tunaongeza list ya dhambi. CCM ni dhambi kubwa sana

   
 2. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Na ilaaniwe CCM, kwa kuchakua hadi mahakamani. Kuna siku wizi na dhuluma zetu zitawamaliza pamoja na vizazi vyenu
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  CDM inamuaibisha shetani kwa mara nyingine arusha mjini.
  Wao wana pesa, sisi tuna mungu.
   
 4. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wamepita wengi hapo,sembuse Lema?
   
 5. K

  Kuchayaa Senior Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Katika kile ambacho kinaonekana CCM walijua ni kitu gani kitatokea mahakamani leo( Lema atavuliwa ubunge).Jana walianza campeni rasmi kwa vibaraka wao TBC1 kuonyesha projects za barabara ambazo zinajengwa katikati ya mji wa Arusha kwa msada wa Benki ya Dunia, tuliona meya wa Arusha akitamba kwamba project hizo ni msada kutoka Benki ya Dunia na Serikali imechangia kidogo.

  Maswali ya kujiuliza:Meya wa Arusha alikuwa wapi kufanya publicity hiyo kabla ya jana? au ndio CCM wanataka kutumia projects hizo za world bank kama mtaji wao wa kisiasa kuomba uruma kwa wananchi wa Arusha?
   
 6. L

  Loomu Senior Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes, hii planned kabisa ila wajue watu waarusha wanaelewa kila kitu. tutawagaragaza zaidi ya 2010 na kaeni msubiri
   
 7. M

  Mukalunyoisa Senior Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole ya thithiem!
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hawawezi hata wangejenga PEPO hapo A-Town, simply wananchi hatuipendi CCM. (CCM WEZI WA MALI YA UMMA)
   
 9. M

  MAJANI YA KUNDE JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  WAJENGE BARABARA,WAIMARISHE HUDUMA MAHOSPITARI,WAWAISHE MISHAHARA KWA WALIMU.haya yote ni wajibu wa serikali kwa wananchi wake ni mafisadi tu wanaiba.
   
 10. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  wapo uchi pale arumeru sasa wanataka kuwa uchi na A town karibu tena Mkapa na watu wako tunakusubiri kwa hamu
   
 11. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hakika ccm wanajizika wenyewe, hata mimi niliona tena huyo meya alikuwa akiongea kwa mbwembwe
   
 12. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hizo bara bara zimekuja na Lema.
   
 13. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hata televishen nyingine zilirusha habari hiyo...hata ccm wakipiga kampeni mwaka mzima CDM wakapiga wiki moja bado ccm watashindwa tu.
   
 14. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wamshimamishe huyo hakimu wao aliyotoa hukumu iliyoandikwa na CCM
   
 15. M

  Mkereketwa no.3 Member

  #15
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri CCM sasa watatakiwa kujua kuwa Arusha tunaishi watu waelewa.Nawahakikishia hawa CCM kuwa,hata watuwekee mabomba ya MAZIWA,ASALI na kutujaza wana arusha mapesa; hapa Arusha CCM hawana chao,wasahau kabisa kuhusu hili jimbo.Nape hana budi aanze kazi yake ya upiga debe ndani ya CCM kuwakumbusha kuwa wasiwe na ndoto na jimbo la Arusha mjini, lina wenyewe.
   
 16. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Any govt. must be accountable without distinction to its own people. Mbona mnababaika jamani? eti mimi ni mwalimu na kwa vile naishabikia CDM nisipate mshahara?. Katiba gani hiyo? mbona haijui haki za binadamu na hwaki za raia? duuh
   
 17. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #17
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aiseeee shame on them!
   
 18. Mukhabarat

  Mukhabarat Member

  #18
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  propaganda na kampeni hizo wakafanye huko mtimbwilimbi ambako bado wako watz waliolalalakini sio Arachuga kwa wajanja ! NGASHTUKA MACHALE KUN'NDESA
   
 19. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,393
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Mwigulu, Lusinde, Wassira, na wapiga bede bovu wengine wanashangilia posho tu, ulaji huooooo, haijalishi watashindwa na mgombea wao. CCM wanapoteza muda bure huko Arusha, bora wajitoe tu kama wake zao CUF walivyotumia busara kule Arumeru.
   
 20. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #20
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huu ni wito ambao unazunguka katika sms kuwataka wakzi wa arusha kujitokea kwenye maandamano hapo kesho kulaani uonezi wa serikali kwa kutumia vyombo vyake.

   
Loading...