samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 360
Siyo nasubili ni nasubiri!!!!!!!
duu kweli kiswahili ni wito!
Siyo nasubili ni nasubiri!!!!!!!
Haya mameno nimezoea kuyasikia kwenye mikutano ya injili ya kakobe na mzee mzee wa upako, sasa sijui kwenye siasa yanaingia vipi!MUNGU HASHINDWI NA SHETANI HATA SIKU 1, sauti ya UMMA ni sauti ya MUNGU
nimefuatilia kwenye mfumo wa kadi za chama sijaona namba hii. Labda utaje jina lako tuendelee kufuatilia.
acha sera za kizaman wwHabari wana jf. Ndg zangu kutokana na hali halisi iliyotokea pale Arusha leo juu ya kumvua ubunge mh Lema hiyo inamaanisha kwamba jimbo liko wazi,sasa nami nimeamua kuingia kwenye kinyan'ganyiro hicho kupitia chama changu.Maana maisha ya udaktari yamenishinda,kila kukicha migomo tuuuuuuuuuuu!!! Sasa jee nikipata nafasi ya kugombea akina mama hapo mbele mtanipa?na akina baba hapo nyuma mtanipa?
0:A S angel:Habari wana jf.
Ndg zangu kutokana na hali halisi iliyotokea pale Arusha leo juu ya kumvua ubunge mh Lema hiyo inamaanisha kwamba jimbo liko wazi,sasa nami nimeamua kuingia kwenye kinyan'ganyiro hicho kupitia chama changu.Maana maisha ya udaktari yamenishinda,kila kukicha migomo tuuuuuuuuuuu!!!
Sasa jee nikipata nafasi ya kugombea akina mama hapo mbele mtanipa?na akina baba hapo nyuma mtanipa?
Acha watu waongee ushabiki wa kwenye mtandao wakipoteza jimbo ndio watajua nilikuwa namaanisha nini na nimejibainisha kama mwanachama wa CDM maksudi kwani nilijua wengi watafikiri nimetumwa au ni mwana magamba.
Tuangalie hali halisi jamani najua wakuu wa chama watalifanyia kazi hili.
kwa upande wangu siwezi kuwapigia magamba kura maisha kama chadema wakisimamisha jiwe nitalipigia kura,
nimeongea haya ili kupanua wigo wa kufikiri ushindi wa kishindo kwa Chadema kwenye uchaguzi wa marudio.
Tuangalie changamoto zinazotukabili kwa na CCM wana mbinu na nyingi ni chafu
Wametumika vibaya.
Na walaaniwe kwa kutaka kuliingizia taifa matatizo
SAWA NIMESIKIA SALA ZAKO NITAWALIPA SAWA:rockon:Hawa ni mashujaa na wanastahili hadhi ya kitaifa,
Lema ni mbaguzi/mdini na anachochea ukanda na ukabila, LEMA amesababisha watu waichukie Chadema Hafai wala hafai hata kidogo.
Hongera Majaji na mahakimu kwa kutenda haki.
Hongera mliomfungulia mashtaka, Mungu awalipe.
Ameeeeeeeeeeeen
Napenda kuwaeleza kwamba, haya yote yanayomkuta Lema ni kutokana na nyie kutumiwa na mafisadi kuweza kukandamiza haki ya mnyonge.
Tazameni sasa damu yetu wana Arusha inaenda kumwagika wakati wote wa kampeni mpaka uchaguzi ujao hapo Arusha.
Mmekubali kutumika ili kuweza kumkomoa lema lakini kumbukeni kwamba nguvu ya umma kamwe haiwezi kuzimwa na nyie. Kitu gani kiliwawasha mpaka mkafanya hivyo?
Anyway MUNGU yupo one day atakuja kudhihirisha ukweli juu ya jambo hili.
*****..Hawa ni mashujaa na wanastahili hadhi ya kitaifa,
Lema ni mbaguzi/mdini na anachochea ukanda na ukabila, LEMA amesababisha watu waichukie Chadema Hafai wala hafai hata kidogo.
Hongera Majaji na mahakimu kwa kutenda haki.
Hongera mliomfungulia mashtaka, Mungu awalipe.
Ameeeeeeeeeeeen
kweli CCM wote mapunguani, kwani M4C inaishia leo? halafu wamesahau kuwa CDM hawana fedha wana watu.Nimeongea na mwana CCM mmoja hapa DAR ni mtu mwenye nafasi kubwa kidogo lakini kwasababu ni mtani wangu nimemuuliza je mnategemea kushinda Arusha akanijibu wao Wanaamini hawatashinda ila wanataka CHADEMA watumie mda mrefu kuhangaika na chaguzi ndogo na fedha kidogo walizo nazo zitumike kughalamia kesi na hizo chaguzi ili ifikapo 2015 wawe hoi kifedha waburuzwe tu kama Mizoga.
Kayoka,
Hutuwezi kuchukizwa na matusi ya Lusinde halafu tufurahie matusi ya Lema...sidhani kama Lema kaonewa, maneno yake ndio yamemfikisha hapo kajifunza uchaguzi ujao anafanya kampeni za kiungwana.
Nimeongea na mwana CCM mmoja hapa DAR ni mtu mwenye nafasi kubwa kidogo lakini kwasababu ni mtani wangu nimemuuliza je mnategemea kushinda Arusha akanijibu wao Wanaamini hawatashinda ila wanataka CHADEMA watumie mda mrefu kuhangaika na chaguzi ndogo na fedha kidogo walizo nazo zitumike kughalamia kesi na hizo chaguzi ili ifikapo 2015 wawe hoi kifedha waburuzwe tu kama Mizoga.