Mh. Freeman Mbowe ambae ni mwenyekiti wa chama cha CHADEMA na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Amesema kuwa pamoja na mambo mengi walioishauri serikali hawana mamlaka ya kumzui Rais kutosai muswada uliopo mezani kwake hivi sasa ila walimtaka atumie kifungu cha (97)2 kutokana na mapungufu mengi katika muswada huo! Pia serikali aliwaahidi kuyafanyia mabadiliko na mapendekezo yao kwenye kikao kijacho January 31, Aidha Mh. Mbowe anaweka wazi kuwa wakiyafanyia kazi mapendekezo yao hao wako tayari kushiriki katika utungwaji wa katiba mpya na wakiyapuuza hawana namna tena nikurudi kwa waamuzi wakuu wananchi.
OOK
I think kutakuwa na mabadiliko makubwa kwenye kikao kijacho cha Bunge.
Logic: Rais kama mwenyekiti wa CCM hawazi kuwageuka wabunge wake wlaiopitisha sheria, kamwe isingewezekana akubali maoni ya Chadema moja kwa Moja bali anaweza kuyakubali kwa njia ya kuzunguka. Hili halihitaji mtu kuwa na PhD kuelewa.
Hata Rais akisaini hiyo sheria inaweza kurekebishwa kwenye Bunge, hivyo yawezekana amesaini (ndio mana kafanya haraka) kuwaridhisha wabunge wa CCM then next bunge mabadiliko yakapendekezwa...na hili litakuwa TRUE (japo mabadiliko yote ya CDM yanaweza yasiwepo).
Kumbuka sheria ya Uchaguzi 2010 ilifanyiwa marekebisho baada ya kusainiwa kwa mbwembwe!
So tuwe na matumaini!