Magufuli amchana Mkulo

Mr. Kiranga,
nimegundua kuwa namna yako ya kufikiri ni application ya knowledge yako ya sociology and political science na ndio maana neno "populism" linakusababishia urticaria na unataka tu adopt statism ili watu waliosoma siasa waweze kuamua kwa niaba ya wale ambao hawakusoma siasa - people versus èlite.
Mimi nina mtazamo tofauti na wewe, ninabaki na mtazamo wangu na wewe baki na mtazamo wako by the way tofauti ya mawazo ndio inayotufanya tuishi vizuri na kwa mafanikio just fikiria kama sisi wote tungekuwa na mtazamo mmoja - what an annoying situation!!
Politically fikiria kama sisi wote tungekuwa CCM, au wote CHADEMA, au CUF ahahah
so as far as I'm concerned I call it a topic - nimefurahi sana kuwa na mjadala nawe na ninakutakia siku njema.
take care bro!!
 
nitajitahidi kukusoma vizuri zaidi labda nitakuelewa unataka kumaanisha nini...

Hillel The Elder said, "If not now, when?". Inakuwia vigumu kunielewa kwa sababu unaenda kwa kukariri na copy paste wakati mie nachanganua vitu dynamically.
 
Mr. Kiranga,
nimegundua kuwa namna yako ya kufikiri ni application ya knowledge yako ya sociology and political science na ndio maana neno "populism" linakusababishia urticaria na unataka tu adopt statism ili watu waliosoma siasa waweze kuamua kwa niaba ya wale ambao hawakusoma siasa - people versus èlite.

Kutoa accusation bila kutoa sababu zinazotoa msingi wa accusations hizo kunaonyesha mtu asiye mantiki na anayejisemea tu. Kwa nini unafikiri mimi natetea statism over populism?


Mimi nina mtazamo tofauti na wewe, ninabaki na mtazamo wangu na wewe baki na mtazamo wako by the way tofauti ya mawazo ndio inayotufanya tuishi vizuri na kwa mafanikio just fikiria kama sisi wote tungekuwa na mtazamo mmoja - waht ana annoying situation!!

Utajuaje kwamba tuna tofauti ya mawazo wakati wewe mwenyewe umesema hujanielewa na unahitaji muda zaidi kunisoma ili unielewe?

Politically fikiria kama sisi wote tungekuwa CCM, au wote CHADEMA, au CUF ahahah
so as far as I'm concerned I call it a topic - nimefurahi sana kuwa na mjadala nawe na ninakutakia siku njema.
take care bro!!

Umekimbia bila kujibu maswali kadhaa ya msingi kuhusu populism.

Hujanionyesha mpaka wako wa kusema fulani ni mwanasiasa kwa sababu nchi yake ina demokrasia na fulani si mwanasiasa kwa sababu kwao hakuna demokrasia uko wapi.

Hujanionyesha mwanasiasa ambaye hahitaji kura za watu analazimikaje kuwa populist. etc etc
 
Mr. Kiranga!
Personally I don't have what you call "oxford Dictionary of Sociology...political science"
I'm, a senior medical Officer,if that can help, anyway I dont think if in order to know the meaning of a "protein" one should consult the biological dictionary or to know what is a "rock" one should go for a geological manual nevertheless if I ask you what is malaria you dont have necessarily to consult the medical dictionary - do you??? I'm afraid we're becoming ridiculous and people are no longer enjoying the argument...
I'm afraid!!

Unaweza kwenda Urbandictionary.com ukaambiwa definition ya protein ni manii, ukaenda dictionary ya biolojia inayotambulika wakakuchanulia tangu protein inavyofanyika. That's the difference between myself and you.
 
Hillel The Elder said, "If not now, when?". Inakuwia vigumu kunielewa kwa sababu unaenda kwa kukariri na copy paste wakati mie nachanganua vitu dynamically.

Kaka mbona mimi nilishatoa timu siku nyingi?? hiyo kitu unayojaribu kueleza mbona ulishaelezea muda mrefu uliopita niliposema nitakusoma tena na wewe kindly ukaniambia ulikuwa unamaanisha nini au unataka kurudi huko tena... mimi binafsi nimeelewa mtazamo wako wa siasa umekaaje na nimegundua kuwa tuna mitazamo 2 tofauti which is good anyway - wengine sisi hatukusomea political science so hatujuagi kubishana just for the sake of that. Mimi, narudia nimefurahi kuwa na mjadala nawe, lakini kuna na wengine waliokuwa wanachangia basi tusiwanyime nafasi ya kuchangia maana naona tunamonopolize hii topic. unajua August the Emperor alikuwa anasemaje ktk situation kama hii?? ...acta est fabula!!!!!
 
Unaweza kwenda Urbandictionary.com ukaambiwa definition ya protein ni manii, ukaenda dictionary ya biolojia inayotambulika wakakuchanulia tangu protein inavyofanyika. That's the difference between myself and you.

unaelewa maana ya definition???? factum omne rotat
nafikiri mwanzoni niliku-overestimate now you're just puking your true colours!!! Nilikuwa naamini kuwa unateleza unapoandika fluff kumbe ndio namna yako ya kufikiri. Unadhani ukiandika maneno mengi ndio utakuwa umeandika maneno ya maana, mimi huwa sina hulka ya kubishana na kila mtu, huwa ninajibu posts za watu ambao katika evaluation yangu naona wanaongea maneno ya mshiko otherwise huwa nasoma na kupita. Leo sijui imekuwaje nimesoma na nikafikiri kuwa ulikuwa mtu mwenye mawazo ya kuchangia kwa manufaa yetu wote kumbe ulikuwa unatafuta ligi. Wakati bado nipochuoni walinifundisha what I can(wrongly) define patient psychology,so nikisoma posts huwa ninaweza kuelewa anayeandika ni mtu wa aina gani,unfortunately in your case I failed to realize it before it exploded!! anyway it will be part of my future experience.

so, Mr Kiranga, mimi na wewe naona tufungie hapa na nisamehe kama nimekukwaza na regarding your affinity with statism always remeber what romans used to say non auro sed ferro recuperanda est Patria!!

Kila la heri!!
 
Magufuli siyo Jembe bali hiyo ndiyo style yake ya kung`arisha jina lake ili wananchi wamuone yeye ndiyo mkweli na mchapakazi pekee. Hakuna ambacho huyu Pombe hakijui juu ya ukata unaoikabili hazina.

Tutazifupisha safari za nje ya nchi kama za rais na watu kama wa TANAPA ili barabara zijengwe na kwa wakati. Fedha zipo ila ' white colour crimes' has been increased overtime. Ungesema tu Magufuli is fighting with unseen enemy who is hidin behind the cartens of CCM's 'ufisadi' manifesto, i would regard it differently.
 
Wengine watasema amefanya vizuri kwa kuwa muwazi na labda hili litasaidia kufanya mambo yaende kasi.

Wengine watasema this is undiplomatic, haheshimu collective responsibility, na alikuwa na njia nyingi tu za kuongea na Mkullo moja kwa moja, anatengeneza tension inayoweza kuleta confrontation.

Nilikuwa najiuliza nimeshidwaje kukugundua mapema na kuavoid any useless(?)discussion with you - now I know my mistake!! Kama ningeanza kusoma thread ilipoanzia ningekumbana na hii I swear in the name of Lord nisingedeal na wewe maana it tells all - according to my knowledge in medical psychology, anyway makosa nimeyafanya the only thing I can do is to apologize to myself!!!

sehemu zenye debate watu huwa wanatoa mawazo yao na si kusema tu wengine wanasema nini,unaweza kusema wapo watakaosema blablabla na wapo watakaosema blablabla lakini mimi ninasema.....
anyway, sihitaji kufungua mjadala mwengine now I know the position you deserve - that's all!!! quod scripsi...scripsi!!
bye dude!!!
 
nani? Anatulaani watanzania?.unafiki kila kona.kama amekosea asiambiwe?.fuatilieni siasa za wenzetu ata hapo kenya tu,watu wanapeana live hadharani na ukikosa hatua hapohapo sisi tutabaki kubembelezana mpaka lini?.nchi inaendelea kuoza na ustarabu wetu wa kijinga
 
Huenda anatuma meseji kwamba Cabinet haijakutana siku nyingi.............
 
Umepewa mifano ya Tanzania pia, umepewa mifano ya Malecela, Msuya, Mramba walivyokuwa hawakumbatii populism.

Kuna wengine wanamjua Ron Paul, kama ambavyo si kila Mtanzania anamjua Ron Paul, si kila Mtanzania hamjui Ron Paul pia. Na kama humjui labda point ya forum hii ni kubadilishana ujuzi, huu ndio mda wa kuperuzi peruzi kumjua kwani wakati wwowote baada ya uchaguzi wa 2012 anaweza kuwa rais wa Marekani, na penda usipende foreign policy ya Marekani itaathiri mabo fulani Tanzania.

Ulimwengu wa utandawazi huu huwezi kujificha chini ya jiwe useme tuzungumze Tanzania tu, utalia.

Kiranga
Hivi kweli tunahitaji kamusi itafafanulie namna ya viongozi tulio nao Tanzania hii ya leo? Magufuli alichotafuta si umaarufu ni dhihaka kwa wananchi aliyoitoa mbele ya waandishi wa habari; mh. Magufuli ni mtendaji wa siku nyingi anafahamu fika namna gani viongozi wa serikali wanafanya mawasiliano kati yao; kama suala ilikuwa ni wizara ya fedha inafanya uzembe wa kuchelewesha malipo upo utaratibu maalum wa mawasiliano angeweza kuwasiliana mh. Mkullo na si kupitia vyombo habari; mawaziri wanakutana kwenye mikutano wa mawaziri na kwenye vikao vya chama; sasa iweje leo atumie vyombo vya habari? kama sio dhihaka ni kitu gani? na ndio sababu nilipendekeza tutoe mifano ya wanasiasa wetu; kimsingi ipo tofauti kubwa kati wanasiasa wa Marekani na wanasiasa wetu; hatukatai wote wanaitwa wanasiasa lakini wakiwa na malengo tofauti; wamerakani wanazotofauti lakini wote wana lengo moja kuifanya nchi imara na bora kiuchumi; hawa wetu wametawaliwa na ubinafsi malengo yao yamebadilika si kulitumikia Taifa ni kujilimbikizia mali kwa rushwa na ubadhirifu; si ajabu mh. Magufuli alikuwa anamkumbushia Dr. Mkullo atoe pesa ali apate kamisheni zake; wote tunajua wizara ya ujenzi ni moja ya wizara yenye rushwa ya hali ya na tenda zote zinapatikana kwa rushwa; Dr. Ron Paul na uraisi hilo sina hakika nalo ila ni mtu ambaye siku zote anasema kile anachikiamini na si kuwafurahisha wapiga kura.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Jana wakati Bw. pombe anasaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi Dar, alimuwashia moto Bw. Mkulo kuwa wizara yake inachelewesha malipo ya wakandarasi na kufanya miradi ichelewe kumalizika. alisema ""

“Na hili nalisema hapa kutokana na mwakilishi wa Ofisi ya Waziri wa Fedha kuwa mahali hapa,” alisema Magufuli na kumgeukia ofisa huyo wa Wizara ya Fedha na kumwambia:

“Mwambie Waziri Mkulo awalipe fedha makandarasi wanaodai, salamu hizo mfikishie huko aliko, makandarasi wanaidai serikali,” alisema.
Bila kutaja kiasi ambacho serikali inadaiwa, Magufuli alimtaka Waziri Mkulo kulichukua jambo hilo kwa uzito wa kipekee na kuanza kulipa madeni ya makandarasi kuanzia sasa, ili Wizara ya Ujenzi iweze kuwabana vizuri pale wanaposhindwa kukamilisha ujenzi kwa wakati.''

source: TANZANIA DAIMA YA LEO


Ina maana hawa jamaa hata kupigiana simu hawawezi mpaka wavuane magamba kwenye TV??? Kazi ni kwake baba riz.


Kwenye GREEN: Je siku hizi hakuna cabinet meetings???
 
Mnafiki Magufuli again!!!
Nyumba za serikali alizoshiriki kuziuza zi wapi?
KWELI MAGUFULI NI JEMBE,LINALOSHIRIKI KUCHIMBA KABURI LA KUZIKA NCHI YETU!
 
what do you mean by "populist"??? this terminology is highly abused in the west and now I see even in Tanzania. Have you ever known any, I underline ANY,politician who is not POPULIST??? Let's forget about demagogy and cheap rhetoric thence call a spade a.......SPADE!!!
all politicians are populist(S)...period!!!!!

A populist is anyone who says or does anything to endear him/herself to someone else regardless of the truth in or consequence of what he/she says or does. Magufuli knows why the money is not paid and that Mkulo has nothing to do with it. All he wants is credit from the general public by uttering statements that will not have any impact whatsoever to the payments.
 
Back
Top Bottom