Recent content by Makonyagi

  1. Makonyagi

    JamiiForums Tanzania ESCUDO for SALE

    hehehe wanyaki wanasema ubufu! yaani unga
  2. Makonyagi

    JamiiForums Tanzania Imani ya Ushirikina na Maisha ya Mwananchi

    hehehe hic! akishakufa baada ya kumuingia, nani ataleta taarifa hapa?
  3. Makonyagi

    JamiiForums Tanzania Makubwa! Eti mpaka adundwe

    Unajua hizi sheria za kuwaumiza wanawake eti unashtakiwa, isije ikafika siku ikatungwa sheria kwamba ukimchubua mwanamwali wakati wa TENDO eti nalo likawa kosa.
  4. Makonyagi

    JamiiForums Tanzania Maandamano Kumpinga Kikwete

    Mapema mno kuandamana. Elimu tunayoitoa hapa inapaswa kwanza kupenya ktk mioyo ya Watanzania then hayo maandamano yataaandamana kila baada ya muda mfupi kwani sasa hivi hata polisi nao wanapaswa kuelimishwa. Ops mawazo ya kilevi haya
  5. Makonyagi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Msizomee CCM

    wewe mlevi kweli wewe naona umeishiwa na hoja
  6. Makonyagi

    JamiiForums Tanzania Makubwa! Eti mpaka adundwe

    burp! mnashngaa nini? kichapo kwenda mbele ni mapenzi ya kale
  7. Makonyagi

    JamiiForums Tanzania Mashine za kuuzia mipira ya kiume 'Kondomu' zaja Bongo

    waweke ndom mpaka kwenye public toilets hic!
  8. Makonyagi

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka baiskeli za BMX?

    utajuaje kama si mtoto wa RA? hic! anaweza akawa mtoto wa kwanza wa RA huyo hic!
  9. Makonyagi

    JamiiForums Tanzania Asilimia 90% ya "walevi wa kupindukiwa" wamelawitiwa

    hic kwa hiyo ilivyokutokea mara ya kwanza kisha huyoooo ukaacha ulevi hic! Na umejuaje hiyo ujuavyo?
  10. Makonyagi

    JamiiForums Tanzania Asilimia 90% ya "walevi wa kupindukiwa" wamelawitiwa

    Chuki tu kwa walevi hamna jipya wala gari kuanguka. ukiona ivo mambo hayo unayo toka zamani. kwani you cant teach an old dog new tricks hic!
  11. Makonyagi

    JamiiForums Tanzania Ngono ya wizi inanoga kuliko tendo la ndoa katika Ndoa halali.

    hiyo ndiyo inaitwa gulobalaizesheni ambapo Mzee wa Ntwara aliwahi kuwa mwenyekiti-mwenza (Sijui kama mume mwenza inaruhusiwa afrika)
  12. Makonyagi

    JamiiForums Tanzania Power CLUB: Ni aina nyingine ya Upatu?

    Wakubwa nipo ulevini Ila nimeirusha hii baada ya kuona DECI imeshazama hatimaye baada ya wadadisi na wadakuzi kuichambua inavyopaswa. Mnaifahamu hii POWER CLUB?? watu wanaliwa kimya kimya maana bora hao DECI kuna waliowahi kuvuna ila ktk hii klabu ambayo imejichimbia mizizi ktk makanisani (PCT)...
  13. Makonyagi

    JamiiForums Tanzania Utumiaji wa GNLD na Forever Living products ni hatari?

    Utakuta mpaka maprofesa wamo humo. na wachungaji wakisindikizwa na maaskofu wanawahimiza waumini kuingia ktk hizi scheme za madawa ambayo hayajaruhusiwa
  14. Makonyagi

    JamiiForums Tanzania Utumiaji wa GNLD na Forever Living products ni hatari?

    Wizara ya Afya hawajatoa tamko Mamlaka ya dawa na vyakula wanahangaika na metakeflin wanasahau hii piramidi scheme kwenye sekta ya afya. Nashangaa ktk maelezo yoooote ya hizi tianshi sijui forevago and whateva hakuna side effects. Hic! Kula kilaji pata afya
  15. Makonyagi

    JamiiForums Tanzania Nini bia!....? Kunywa konyagi

    usisahau kuwa gongo ni afya ila serikali wanaionea donge
Back
Top Bottom