Makonyagi
Member
- Apr 16, 2009
- 40
- 1
heheheI can guess anachofata Mauritius....Escudo mtaji wake ukawe chambo mmmhhh!
wanyaki wanasema ubufu! yaani unga
heheheI can guess anachofata Mauritius....Escudo mtaji wake ukawe chambo mmmhhh!
mkuu nakuona ukifanya udalali hapo. umehaidiwa kamisheni nini?Kennyville,
Utapata kazi kweli. Unajua karibu hao wote waliokujibu wameishagubikwa na mawazo ya nje,mpaka wanapiga hesabu za Km/day?Iko kazi.Waeleze kuwa kule TZ kwenye daily news tunauziana magari na hamna kuulizana mwaka,wala nini.Hawa wanaojidai kujua mambo ya Km ndio jamaa aliuziwa gari yenye Km ndogo lakini engine na gear box jamaa wakatoa na kumuewekea nyingine. Kama mtu angekuwa mnunuzi angekutumia PM kuuliza yote hayo na zaidi kuliko kuanza kukutuhumu kuwa unadanganya.
W/njema.
Kt
ESCUDO ya 1993, colour Grey, auto, with air condition, 58 thousands KM,4WD - Price 5.6M if your Interested pls contact 0713227455
Sababu ya kuiuza next month nitakuwa Mauritius for almost two years kwahiyo its better to sell it
Escudo ya mwaka 1993 kutembea km 58,000 ni uongo wa kutupwa.
Gari hii ina miaka 16 ,hii ina maana imetembea kilometa 3,625 tu kila mwaka au kilometa 302 kila mwezi.
2009 - 1993 = 16yrs
58,000 / 16yrs = 3625km kwa mwaka
3625/12 months= 302km kwa mwezi
302/30 days= 10km kwa siku.
conclusin: coincidence kwamba wamiliki wote X katika series ya owners kuanzia gari iwe mpya wameweza kumaintain avarage ya km. 10 kwa siku is practically impossible.
Hapana, lilishatembea na kufika namba ya mwisho kabisa, likaanza tena moja na sasa ndio limefikia hapolabda kasahau sifuri ya mwisho wazee...
Nilisha isukuma the very first day nilipoweka tangazo humu tena kwa mtu ambaye hakuiona humu halafu humu niliona hakuna mnunuzi zaidi ya kutafuta makosa tuSipendi wala sitaki watu wanaoweka thread kisha wakibanwa kwa maswali wanaingia mitini.
Weka picha hapo!!!!!!!!
2009 - 1993 = 16yrs
58,000 / 16yrs = 3625km kwa mwaka
3625/12 months= 302km kwa mwezi
302/30 days= 10km kwa siku.
conclusin: coincidence kwamba wamiliki wote X katika series ya owners kuanzia gari iwe mpya wameweza kumaintain avarage ya km. 10 kwa siku is practically impossible.
asante mkuuHongera kama ulishaiuza mkuu.
2009 - 1993 = 16yrs
58,000 / 16yrs = 3625km kwa mwaka
hiyo gari ilikuwa ime park mda mwingi nini
embu tuweleze vizuri