Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 739
- Thread starter
- #21
hii sasa hatari. viwanda vya pombe vitafungwa kwasababu icho kitu ni disgrace kubwa sana kwa wanaume. tukanwa tusi lolote lakini sio hilo. jamaa mmoja alijinyonga hivihivi baada ya kulewa, wenzie wakamuwahi, kesho yake akaona maumivu na dalili kuwa alikanyagwa na kuwa wenzie wameuona muanas wake. kilichobaki ni aibu tupu na kwenda kutafuta kamba. walevi muwe makini.