Makubwa! Eti mpaka adundwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makubwa! Eti mpaka adundwe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Fidel80, May 16, 2009.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Sikuwahi kufikiria hata siku moja kama yanayoandikwa hapa ni kweli, mara kadhaa nimefikiria ni watu ambao wameamua kufurahisha baraza.

  Lakini yaliyonifika mimi pengine yanaweza kuonekana kichekesho zaidi kwa kuwa hakuna mtu anayeweza kuamini kama mke wangu anataka niwe nampiga ili aamini kuwa nampenda.

  Nimeoa mwanamke wa Kikurya mwaka mmoja uliopita lakini kuna tabia ya ajabu ambayo mke wangu amekuwa nayo.

  Kukosena kama binadamu kunatokea mara kwa mara lakini inapotokea yeye akakosea nikimweleza makosa yake na kumwambia kuwa nimemsamehe huwa namuona hana furaha.

  Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza huyu mwanamke ni wa aina gani kwani unapokosa na mwenzako akasema amekusamehe kwa hakika ni jambo la kufurahia sana lakini kwake haikuwa hivyo.

  Siku moja aliniudhi sana, Nilirudi nyumbani kama saa kumi na mbili hivi na kumkuta akiwa nyumbani hajaenda shule kumfuata mtoto.

  Nilipomuuliza kwanini mpaka muda ule hajaenda kumfuata mtoto alinijibu kuwa alikuwa saluni akisuka.

  Bila kumuuliza tena nilijikuta nikimpiga kibao cha nguvu na kuondoka zangu kwenda kumfuata mtoto shuleni.

  Baadae niliporudi nilikutana na hali ambayo haikuwa ya kawaida, mke wangu alikuwa na furaha sana.

  Nilimuuliza iwapo kumuacha mtoto shuleni mpaka muda ule lilikuwa jambo la kumfurahisha kiasi hicho.

  Akiwa na raha za ajabu aliniambia kuwa siku hiyo kwa mara ya kwanza ameamini kuwa nampenda.

  "Mume wangu sikijua kama unanipenda mpaka leo hii ndio nimeamini kuwa unanipenda, nami nakupenda sana mume wangu naomba nikikosea uwe unanipiga" alisema mama huyo
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  hehehe sipati picha endapo mzuka wake wa kudundwa umepanda wakati mpo katikati ya mavituuuuz!!! hehehe
  ndo wanawake wa kikurya walivyo. bila scars wanaona urembo wao haujakamilika
   
 3. Makonyagi

  Makonyagi Member

  #3
  May 16, 2009
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  burp!
  mnashngaa nini?
  kichapo kwenda mbele ni mapenzi ya kale
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...mnh, hapa ninapoishi ukimtandika kofi mkeo halafu akafurahi namna hiyo jiandae kulala selo, huenda ndio evidence aliyokuwa anaitafuta!

  Acha ndugu, fikiria umemtandika kofi puuuuu!, ...naye chini! anajinyoosha huku 'roho ikiiacha mwili', utasema alipenda mwenyewe?
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  hehehe mkuu Mbu na Msanii hayo ndo mapenzi ya kikurya bila makofi mangumi maanake humpendi mke/demu wako
   
 6. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Your wife is a sadist bro...
   
 7. Makonyagi

  Makonyagi Member

  #7
  May 16, 2009
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua hizi sheria za kuwaumiza wanawake eti unashtakiwa, isije ikafika siku ikatungwa sheria kwamba ukimchubua mwanamwali wakati wa TENDO eti nalo likawa kosa.
   
 8. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #8
  May 16, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hii story ni yako au umeitoa mahali?
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...na kwanini umuumize?
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu hii ni story imemkuta jamaa mmoja nimekuwa kama Shy.
   
Loading...