Nini bia!....? Kunywa konyagi

Nini bia!....? Kunywa konyagi

Ayaaa!
Nani amwaga konyagi yangu? mnataka kuona nguvu ya mlevi??? ukinigusaaaaaa!!!! Utajuuuuuta Kunfehem
 
Aliyekamatwa na Ng'ombe ndiye mwizi wa Konyagi ...Hic!

Hii signature yako siipati picha yaani Ng'ombe na Konyagi wapi na wapi bana??!!Au ndo tayari mashetani ya Nyagi yapo yuluuuu kumkichwa!!

Karibu Jamvii
 
Hii signature yako siipati picha yaani Ng'ombe na Konyagi wapi na wapi bana??!!Au ndo tayari mashetani ya Nyagi yapo yuluuuu kumkichwa!!

Karibu Jamvii
burp hic
ukiona ivo ujue naona mzuka wa manjano
karibu nyagi mkuu
 
Asante Mkulu,ila nianzishie na kiloba kwanza kile ndo kipimo kizuri
 
usisahau kuwa gongo ni afya ila serikali wanaionea donge
 
Kwa nchi ya Tz ambapo ulevi ni URITHI wa taifa hili linawezekana pia.
 
Haya wale walevi wenzangu, na wasio walevi wa kilaji (najua ulevi wao upo wapi). Mie ndo nimeingia nikiwa chicha haswa. nayumba nashangaa nyumba haina kaunta hii.
Weita pls lete moja bariiiidi.
ops hodi humu
Karibu braza Makonyagi
 
Haya wale walevi wenzangu, na wasio walevi wa kilaji (najua ulevi wao upo wapi). Mie ndo nimeingia nikiwa chicha haswa. nayumba nashangaa nyumba haina kaunta hii.
Weita pls lete moja bariiiidi.
ops hodi humu
Last seen n 2010, inaweza kuwa jamaa ameshatutoka kwa kunywa konyagi
 
Haya wale walevi wenzangu, na wasio walevi wa kilaji (najua ulevi wao upo wapi). Mie ndo nimeingia nikiwa chicha haswa. nayumba nashangaa nyumba haina kaunta hii.
Weita pls lete moja bariiiidi.
ops hodi humu
Kitambo sana..
 
Hizu kitu siku hizi zimekuwa feki nyingi. Zinamaliza watu. Huyu jamaa alie post nia Maghayo a.k.a Busu la Kenge kabla hajaenda Copenhagen
1000094450.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom