Recent content by Makaayamawe

  1. Makaayamawe

    CHADEMA mwendo mdundo

    Mzoefu wa kuua vyama Mrema, na yeye pia ameona kasheshe la CHADEMA lakini bwana mdogo Mnyika anatuambia eti mambo yote shwari, who do you think you are lying to. For CHADEMA to survive, just like the original NCCR, Mbowe and Mtei had to go.
  2. Makaayamawe

    Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

    Asha, Matamshi gani hayo waliyotoa? Je ina maana kila anayetoa matamshi tofauti na Mwenyekiti/Katibu inabidi afukuzwe uongozi/uachama? Walipewa onyo kabla au adhabu yao haina onyo? Something is definitely wrong here. Zitto tungeomba na wewe utupe maoni yako maana hapo awali ulitupa mtazamo...
  3. Makaayamawe

    Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

    Mzee Mtei heshima yako, Waliotimuliwa hapa ni wale wale waliokuwa wanampinga Mbowe kwenye uchaguzi uliopita. Hebu tupe ushahidi kuonyesha kuwa hawakufukuzwa kwa maslahi binafsi ya Mbowe ambaye sasa inaonekana anamburuza Dr. Slaa kama mtumishi wake binafsi? Mzee Mtei, Kama haya ni kweli...
  4. Makaayamawe

    This is Dowans HQ in Costa Rica - (Pictures)

    Mgao utaisha our incompetent Kikwete atakapoachia ngazi. Raisi aliye na mipango ya kimaendeleo na anayeona mbali hili lingekuwa ni tatizo kubwa kwake ambalo angekuwa ameshalipatia ufumbuzi.
  5. Makaayamawe

    Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

    Uongozi wa CHADEMA needs to grow up. Mbowe anatakiwa kufahamu kuwa chama sio tena cha familia, ni cha wanachama wote na hakuna aliye bora kuliko mwingine. Kundi la Zitto nalo wanatakiwa kuelewa kuwa vurugu katika kugombea madaraka hazitakijenga chama. Wawe wawazi juu ya nia zao za kuchukua...
  6. Makaayamawe

    Arusha to change in the near future

    Kuna tatizo hapa. Unapotengeneza bajeti ya ujenzi hakuna kitu kama mabaki, ujenzi kwa kawaida unazidi makadirio. Sasa sijui hapa haya mabaki yanatoka wapi yenye uwezo wa kujenga barabara za ziada kiasi cha 5.5km. Either tuna wataalam wabovu au ujanja ushapangwa kabla hata shughuli kuanza.
  7. Makaayamawe

    Nchi imemshinda na Chama chake kimemshinda; aombe wawekezaji?

    Hivi hakuna mCCM anayejiamini na na kumweleza waziwazi Kikwete kuwa Nchi imemshinda? Bila hivyo huyu mswahili atang'ang'ania bila kujali nchi na chama chake vinapoporomoka.
  8. Makaayamawe

    Kikao cha CCM: RA Atema Cheche "Nitajiuzulu...."

    Hiyo tume labda itoke Scotland Yard ndio itaonekana huru hata kama ushahidi uko wazi. Halafu ikishatoa hukumu asiyoitaka Rostam atasema iundwe tume nyingine kuichunguza hiyo tume.
  9. Makaayamawe

    Msanii Kikwete at his best

    Sio USANII bali ni kusema UONGO. Amedanganya kuhusu Ufisadi. Chenge, Idrisa wote wametajwa kushiriki rushwa ya Radar Uingereza lakini bado wako bongo wanatanua. Ndio kupiga vita huko? Richmond nayo vipi? Amedanganya kuhusu umeme. Barrick walijitoa sio kwa sababu za kiuchumi, waliona wanataka...
  10. Makaayamawe

    Mganga wa jadi awania kiti cha Rostam ubunge jimbo la Igunga

    Mganga wa jadi awania kiti cha Rostam ubunge jimbo la Igunga Nora Damian na Ellen Manyangu, Date::11/5/2009 MGANGA mmoja wa jadi, ametangaza azma ya kuwania ubunge katika Jimbo la Igunga, mkoani Tabora, ambalo kwa sasa linawashikiliwa na Rostam Aziz. Mganga huyo Bakari Nyorobi (26)...
  11. Makaayamawe

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Mkuu Mwanakijiji, Nafikiri huyu mama alitakiwa kujiuzulu kwa aliyosema hapo siku za awali na sio jana. Kwenye tume ya Mwinyi amefanya tu alichotakiwa kufanya kama mbunge mwingine, kutoboa madhambi ya wengine. Tusubiri maelezo ya Kilango na wengine aliowashutumu wajibu mapigo.
  12. Makaayamawe

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Tusikimbilie sana kwenye ushahidi wa kushikikika (tangible evidence), bali ikiwezekana tuangalie pia ule wa kimazingira na kuomba maelezo toka kwa wahusika ikiwezekana. Kama mtu anafanya mambo kinyume na mazingira ya kawaida lazima atoe maelezo ya huo uwezo unakotoka.
  13. Makaayamawe

    Ni Afadhali Elimu kufundishwa kwa Kiswahili

    Ukiona raisi wa nchi, Kikwete, hawezi kujieleza kwa kiingereza mbele ya vyombo vya habari ujue kuwa nchi yetu iko matatani. Lakini baya zaidi ni kuona kuwa hakuna hatua yeyote inayochukuliwa ili kuwezesha wahitimu wetu kumudu ushindani wa soko huria. Mbona wakuu wanapeleka watoto wao kusoma...
  14. Makaayamawe

    New Targets: Slaa na Raia Mwema

    Mkuu Mwanakijiji, Kuna kipengele kimoja ambacho CCM watakitumia kumpaka Slaa kama itakuwa JK vs Slaa. Ili kisiwe na uzito, ingefaa Slaa amshawishi Prof. Lipumba awe mgombea mwenza na hapo wata-neutralize hiyo ngebe.
  15. Makaayamawe

    Kikwete afanye nini Kuuokoa Urais wake?

    Zakumi, Hayo ni mawazo finyu kusema kuwa eti kwa vile aliyakuta madeni kwa hiyo hayamhusu. Kwa matanuzi ya serikali yake, hilo deni angeshalilipa mara dufu. Chukulia mfano tu wa gharama ya safari zake US. Cha kushangaza ni kuwa, hata baada ya kuomba kusamehewa deni mwaka 2006, ni hivi sasa...
Back
Top Bottom