Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,461
- 1,448
Inaonekana Watanzania wengi wanaipenda CCM iendelee kuongoza nchi ndio maana wengi wa wachangiaji humu wanaudhika sana na mambo yanayotekea CCM kwa sasa
nakupa tano mkuu....
wanaipenda na wangetamani ibadilike tatizo ni kuwa haiwezi na wao hawawezi kuibadilisha...na mbaya zaidi wanaogopa mabadiliko yatakayoleta chama mbadala...hawako tayari kwa hilo.