mkuu froida, tafuta ukweli kabla ya kuandika, unahakika na hayo uliyaandika?, kinachodaiwa ni laptop na SI computer lab, computer lab ipo ila wanahitaji laptop, kwanza ufahamu faculty requirement haitolewi na chuo, inatoka bodi ya mikopo na kwenda moja kwa moja kwenye akaunti za wanafunzi...