Udom na siasa za udini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udom na siasa za udini

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Luiz, May 23, 2011.

 1. L

  Luiz JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hali katika uchaguzi uliofanyika mwezi wa 5 ,2011 ulitawaliwa na ubaguzi mkubwa wa kidini. Hali hii ilitokana na kupitishwa majina mengi ya waumini wa dini ya Kiislamu kuliko ya wakristu katika kinyang'anyiro cha ngazi mbalimbali chuoni hapa. Hali iliamsha na kuibua hisia za chuki kwa wapiga kura na kuamua kupiga kura kwa kuangalia na kuzingatia udini bila kujali uwezo binafsi wa mgombea. Je tunalipeleka wapi TAIFA LETU. Tafakari
   
 2. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ndio matokeo ya sera za udini za JK!
   
 3. Kitumbo

  Kitumbo JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 547
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Lakini kama ni mwanafunzi basi utakuwa unawajua wagombea na bila shaka umewasikia wakijinadi hivyo utapima nani anaweza na nani hawezi. Unapoanza kufikiria kuwa umchague Muislam au Mkristo hapo ndio udini unaanza na wewe mtoa mada huko ndiko unakoelekea. Niwashauri tu... Mawazo ya kuangalia mgombea ana jina la Kiarabu au Kizungu huo ni ujinga na si sifa ya mtu huru kamwe. Fikirieni kwanza nyinyi ni waTZ acheni ujinga wa huyu muislam au mkristo!!!!
   
 4. AlP0L0

  AlP0L0 JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 3,473
  Likes Received: 759
  Trophy Points: 280
  ukosawa mkuu! Udini ni mtazamo, mtoa mada anatatizo la kiyatazama mambo kidini zaidi na anataka kuwambukiza wengine ugojwa huo.
   
 5. k

  kajanks Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jaman kila kitu ni JK, mwisho utamlaumu jk kwa mama ako kumnyima unyumba mzee wako? Au mzee wako kua shoga yote haya yanatokana na jk..
   
 6. k

  kajanks Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  alichosema kitumbo kina mashiko sana...wewe una muono na fikra chanya sana...
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  lunatic
   
 8. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jk ni mwarubaini?
   
 9. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hebu tuwekee wazi. Yaani udini ni kuwemo waislamu wengi au vipi? Kwa mujibu wa twakimu na hali ya siku zote hali huwa tofauti kwenye chaguzi nyengine na harakati nyengine jee hapo napo unakuwa udini au ukafiri? Nafikiri akili yako chafu unafikiri dini ni uislamu tu.
   
 10. i

  isinkini Member

  #10
  May 24, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tupatie definition kwanza ya UDINI na vigezo ulivyotumia kupima uwezo binafi wa mgombea ili tuende sambamba katika kuchangia
   
 11. m

  majuva Senior Member

  #11
  May 24, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  hivi UDINI ni nini hasa, tusiwe washabiki pasipotakiwa ushabiki, ebu mtoa mada tupe mtazamo wako juu ya huo UDINI unaomaanisha hapa, isije kuwa panapoonekana waislam wengi ndio udini lakini kinyume chake si udini, ninachofahamu ni kuwa UDINI katika uchaguzi wa wanafunzi UDOM ulionekana kwa zile college tu zilizokuwa na wagombea waislam wengi wagombea, je huo ndio UDINI, jamani tuacheni ushabiki na pia tukubaliane katika tofauti zake haina maana kuwa wenye kustahili kushika nafasi ni watu wa upande fulani tu na wengine wakiwepo basi ni udini,

  hapohapo UDOM, jumamosi ya tarehe 21 may pamefanyika uchaguzi wa chama cha wafanyakazi wa vyuo vikuu tawi la UDOM (THTU UDOM), viongozi wote 25 kasoro mmoja au wawili tu ndio waislam, na waislam waliogombewa walikuwepo lakini walitolewa au fomu zao hazikupitishwa kwa sababu mbalimbali ambazo ni sababu tu za kuwaengua wasiwe miongoni mwa wagombea je hili nalo mnasemaje ni UDINI au sio UDINI, lakini hakuna fujo yeyote iliyotokea wla malalamiko yeyote lakini hali hii ingekuwa ni waislam ndio 20 au japo 10 tu basi lazima kelele za UDINI na JK zingesikika, ifike mahala jamani tukubali kuwa enzi zile za kudidimizana hazipo tena sote tuna haki na nchi hii.

  kwa picha hii ninachokiona mimi ni kweli UDOM udini upo na haswa wakristo hawataki kuwaona waislam wakishika nafasi yeyote zaidi wanataka tu wao ndio wawe watawala kama ilivyo mahala pengine pote UDSM, TRA, etc. sote tunahaki jamani mtuvumilie kama tulinavyowavumilia ndio tumeanza tu kujitokeza itabidi mzoe nasi tuna haki ya kuwakilisha.

   
 12. M

  Marytina JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hongera JK
  JK at work
   
 13. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #13
  May 24, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Wewe ndio mdini namba moja...
   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Sijui JF inawezaje kudhibitisha habari hizi. Kila wakati posts zinazohusu UDOM huwa zinautata kwangu, nachelea kuchangia.
   
 15. m

  mariabeno Member

  #15
  May 24, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Majuva kanena kweli nami kuanzia sasa najaribu kuwavumilia kama mlivyotuvumilia miaka nenda rudi. Waswahili wanausemi usemao mazoea yana tabu..... mtusamehe wenzetu tulizoea hivyo kwamba nchi hii ni yetu peke yetu wengine ni kuburuzwa tu, ni kama vile wamasai wanavyoamini kuwa ng'ombe wote ni wa kwao. Ndg yangu Luiz tujitahidi kuwavumilia wenzetu pamoja kwamba ni ngumu...tutazoea tu.
   
 16. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  swali; kama wagombea wengi wangekuwa waislamu je??
   
 17. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kumbe wanavyuo wengi wanafikra mgando, na hawajui kutafakari na ndomaana gpa zao za hovyo sana. Lo lo lo...lets bygones remain bygones
   
Loading...