Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,631
- 1,657
naona moto wa kushambulia makabila umeanza hapa jf...keep it up dudes
aka majala.... ukatu'ula ai' vamaka vasina maana ai
kutunga nchedi kintu che? wavire mukokoyo ai'
Mmaka, kimaare kabisa ava vantu vasina maana tunku. Vakosire cho lusika, ava ni vakokoyo. Majala kalama no sambula vasinga vya vantu, tula ulole kani ukare, kani walola utule na mwiwako mrere wasinga.
Haya ukavalumbya vosi kayii, na nkuku, na ngo'mbe na mburi janyu josi na majirani aho jii.
Miguu ya wachaga ipoje mdau?
belinda Jacob we kabila gani
wanaroho mbaya ukimuoa tu atakukalia mpk kichwani, na pesa yako ataenda honga wanaume wengine mpk ufirisike
Je wewe kama ni "msandawe halisi" Warangi watakuwa ni jirani zako.Thread hii ina makusudio gani? Ukinijibu naweza nikapata picha kamili.Kwa taharifa yako tu, Hawa ndugu zetu hupendelea zaidi kuandika barua zao kwa kuzianza kwa salamu za kikwao, hata maandishi ya mapambo kwenye vyombo vya usafiri mengi huyaandika kwa lugha yao ya Kirangi kuliko makabila mengine ya Tanzania.
Nipo Kondoa leo, Siku njema wana JF
Kuna Muhaya moja, yeye alikuwa bigwa wa kuoa na kuacha pande za mbezi beach, mjanja kweli yaani. Miaka mitano iliyopita, alimuoa mrangi. Sasa hivi Maaviiiii yake, amekuwa mfaalaa mfaaala kabisa. Weekend anafua mpaaka anazeeka. Ujanja kushileee
vamaka kumbaare mumware huu?, nikimare kabisa haya mamaka ni kuyareka vii! mukokoyo wache kumutubirra! vasina ramana tuku saa jingi,
vosumbula sana vahinja va kirangi, koo vasitirwe vakareta masimu yavo yasina mana tuku, kuboha twaboha kweri na tokiheshimu lakini mamaka kira siku yamware kutubirira, kwakweri vahinja va kirangi vopata shida sana uko maofisi![/SIZE][/COLOR]
jamani msituandame uzuri, ukarimu na tabia njema ni asili yetu, tatizo ukicheka na ukiwasaidia watu wanahisi unawataka au unagawa sio kila unayecheka naye unamgawia! na nyie wanaume mmezidi usumbufu na inaonekana nyie mnaowakandia na kujifanya mmewapitia mmenyimwa mnajipa moyo kwa kuosha vinywa!
na huyo aliyesema kuwa wengi hatujasoma na tunaishia kuwa ma-hsgirl chuki binafsi! mie binti wa kurangi Binti MAJUVA, nimesoma, najiheshimu na wala sidanganyiki ingawa maofisini kutwa tunasumbuliwa uzuri sijaomba nimepewa, na sio sababu ya kuutumia vibaya! imani yangu kwa mungu ndio msingi wa maisha mema!