UDOM Kwawaka moto; college of informatics and virtual education IMEFUNGWA

majuva

Senior Member
Apr 30, 2009
144
2
sheria zaanza kutumika UDOM, college of informatics and virtual education imefungwa rasmi baaada ya wanafunzi wake kuendelea na mgomo kwa zaidi ya siku 3 mfululizo, na hivi sasa wanafunzi wanahaha kutafuta jinsi ya kuondoka ndani ya chuo hicho maana wamepewa masaa matatu mwisho saa kumi ya jioni wasionekane vyuoni hapo!
 
mara kunji colleges and schools zote. patakuwa hapatoshi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
wakileta utoto zaidi ni kufukuza wote watakao leta fujo moja kwa moja. kwani wanaohitaji kusoma ni wengi. mbona isue kama hizo za kutimua moja kwa moja zimesha tokea nchi nyingi tu. naona hiyo itakuwa solution kwa wanaoandamana kwa ajili ya isue ambazo siyo critical kiivo. bila kuwa na hizo laptop hawawezi kusoma?
 
timua timua timua timua wakakae kitaa waone joto lake mbona akili itawarudi mkichwa and I hope watapata leson. wahusika timueni wote wanaoleta utoto na chukueni wengine wenye kuhitaji shule na sio migomo
 
mara kunji colleges and schools zote. patakuwa hapatoshi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hahahahaaa yaani, kwa mtindo walioanza nao college of info itakuwa ni KUFUNGA TU CHUO CHOTE kila mmoja arudi kwa barua yake, inanikumbusha miakaa ileee ya UDSM,
 
timua timua timua timua wakakae kitaa waone joto lake mbona akili itawarudi mkichwa and I hope watapata leson. wahusika timueni wote wanaoleta utoto na chukueni wengine wenye kuhitaji shule na sio migomo

Wamepata walichokitaka.
 
timua timua timua timua wakakae kitaa waone joto lake mbona akili itawarudi mkichwa and I hope watapata leson. wahusika timueni wote wanaoleta utoto na chukueni wengine wenye kuhitaji shule na sio migomo

siyo lazima uchangie mada kama huna jambo la msingi la kudeliver,timua timua ni nyimbo za wanenguaji wa bendi sasa mbona unazileta huku hizo ngonjera MR? Na ulisoma research ipi ukaona dawa ya maandamano na migomo ya kudai haki eti dawa yake ni kutimua?kweli wewe ni wa 1947,basi andaa wapya maana wewe unajua mwanzo na unajua na mwisho pia
 
UDOM! Hawa si ndio wale waliochanga fedha ili JK achukue form za kugombea Uraisi?

Kwa hiyo baada ya kuchangia fomu ya mgombea URAHISI wakadhani watafanya mambo wanavyotaka?!, watanzania kweli hamnazo. Ushauri wangu kwa wana-UDOM-"tumikia kafiri upate mradi wako"
 
Kwa hiyo baada ya kuchangia fomu ya mgombea URAHISI wakadhani watafanya mambo wanavyotaka?!, watanzania kweli hamnazo. Ushauri wangu kwa wana-UDOM-"tumikia kafiri upate mradi wako"

Kwenye red. Te te teh teh
 
sasa subiri filtration itakavyofanyika

whoever aliyesapoti CHADEMA kwa kukuru basi safari yake ya elimu imefikia mwisho.......

Pamoja na hayo, siungi mkono migomo ya UDOM kwani mingi haina sababu
 
UDOM! Hawa si ndio wale waliochanga fedha ili JK achukue form za kugombea Uraisi?

na wengine walizunguuka nchi nzima kumtafutia wadhamini. kama kawa kwa kuahidiwa laptop sasa yala kwao

Kwa hiyo baada ya kuchangia fomu ya mgombea URAISI wakadhani watafanya mambo wanavyotaka?!, watanzania kweli hamnazo. Ushauri wangu kwa wana-UDOM-"tumikia kafiri upate mradi wako"

Kwa aina hii ya hawa wanafunzi wanastahili walichokipata tena ikibidi fukuza wote, f6 wamefaulu vizuri mwaka huu watajaza nafasi za hawa wapuuzi!!!
 
Back
Top Bottom