Chadema ya gonga mwamba udom,jitihada za kuitisha mgomo na maandamano yashindikana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema ya gonga mwamba udom,jitihada za kuitisha mgomo na maandamano yashindikana!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mlengo wa Kati, Mar 28, 2011.

 1. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Siku ya jumamosi tarehe 26 March ilikua na hekaheka za kufanyika kwa College Baraza,College ya Social Science and Humanity! Kabla ya Baraza hilo kulikua na maandalizi ya Wafuasi wa CHADEMA hapa UDOM kuhamasisha mgomo usio na kikomo kwa mambo matatu:
  1.Kuandamana kudai katiba Mpya
  2.Kumkataa Profesa Mlacha (DVC Finance and Administration)
  3.Kukataa Wanafunzi wa humanity kuhamia kwenye mabweni yao yaliyojengwa kwa madai kuwa hakuna huduma bora!
  Mheshimiwa Tundu Lissu(MB) alifika hapa dodoma siku ya Jumatano kwa ajiri ya kuongea na wanaharakati wa CHADEMA kuhusu maandalizi hayo,kikao cha kwanza kilfanyikia mjini Nam Hotel kikiwa na Vijana 20 wa Udom. Kikao kingine kilifanyikia eneo la Makulu ambalo liko karibu na Chuo. Kikao hicho hakikuhudhuliwa na Mh Lissu siku ya Ijumaa bali alikuja Mtu mmoja alie jitambulishakuwa anatoka makao makuu ya CHADEMA dar es salam pamoja na Lecturer mmoja ambae ni kiongozi wa UDOMASA.
  Mheshimiwa Lissu alikutana na Bwana Singo Rais wa College ya Social Science kumwambia umhimu wa mgomo huo na kwamba lazima ajue kuna maisha baada ya Chuo.
  Mheshimwa Lissu alitoa Shilingi Milion 3 kwa ajili ya vijana kufanya kazi,ugomvi mkubwa ulianzia hapa baada ya baadhi yao kusema mgawo wa pesa utafanyika baaada ya siku ya pili ya mgomo! Siri yote ilivuja kwani kulibandikwa matangazo kila kona ya college yenye ujumbe TUMEKUJA KUSOMA SIO KUFANYA SIASA,CHADEMA ACHENI TUSOME,na jingine lilisema PEOPLES POWER INATUHARIBIA CHUO,UDOM SIO CHUO CHA KUFUNDISHA MIGOMO!
  Siku ya Baraza kulikua na vituko kwani kabla ya Rais Kuanza kuongea watu wakaanza kuimba hatutaki mgomo wa kisiasa! Na mwisho wa Baraza mambo yakawa magumu kufikia maamuzi ya kugoma!
   
 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,846
  Likes Received: 11,965
  Trophy Points: 280
  Lissu ni mwanasheria sidhani kama anaweza kutoa pesa waziwazi kiasi hicho kuanzisha mgomo nakushauri chunga sana maandishi yako yasije yakakupeleka pabaya.
   
 3. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Wakati mwingine kukaa kimya kunaweza kukujenga kibusara kuliko kuandika utumbo....
   
 4. p

  pimbi Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo ni uzushi wako tu,tindu ni msomi awezi kufanya ujinga huo.Au unataka uongozi
   
 5. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,381
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Ndugu yangu hizo story za kutunga tumezizoea CHADEMA. Tumeshasema HATUDANGANYIKI. MBONA HAMSIKII?
   
 6. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Utakuwa ni kibaraka wa ccm.Yote aliyosema ni uwongo mtupu kwani jana jumapili ndio Chadema walikutana na uliyosema hata moja halikuwepo. Acha kupotosha umma.
   
 7. i

  itahwa Member

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kaka we ni mzushi sana,nimetoka kuongea na BAISI ambaye ni raisi wa chuo amesema ni uzushi tuu hakuna kitu kama hicho,kama hiyo haitoshi nimeongea na DANIEL NKENDA ambaye ni kiongozi mwandamizi wa chadema hapo UDOM pia amekanusha habari hyo na kudai hawawezi kukubali chadema kutumika katika mambo ya kipuuzi,kwa kuongezea bwana Dan ameniambia sasa wameshakamilisha mchakato wa kupata ofisi ya chama pale ngo'ng'ona na siku yoyote mwezi ujao(april) wanatarajia kufungua tawi rasmi chuoni hapo na wanatarajia Slaa kuwa ni mgeni rasmi
   
 8. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Weka picha za mikutano au mabanko, lasivyo ni mzushi
   
 9. IsayaMwita

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 1,123
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kazi kweli kweli, unajua kwa sasa ni ngumu sana kumanuplate data, watu kwa sasa ni waelewa tofauti na siku za nyuma, sasa hapa CHADEMA inahusishwa na school baraza kivipi?
   
 10. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kweli kama wewe ni mwanaume nitakuvisha kanga kisha nikuweke mkono juu kwani utakuwa haujitambui.
  Baraza la wanafunzi walikutana juma mosi nikiwa ndani mbona sikusikia hayo? Pili chadema walikutana juma pili iyo ijumaa imetoka wapi?
  Tatu hayo matangazo yaliyobandikwa kila kona ulibandika wewe chumbani mwako kwani mbona ata kipisi cha karatasi hatujaona kinavyosema ivyo?
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hata mie nilisikia hii HABARI.

  Inasemekana SIKU ya pili alikuja Sophia Simba na kutoa dau kubwa zaidi ili Wasigome.

  Inaonekana Sophia Simba alishinda na mgomo ukaisha.

  Msicheze na MTANI wangu Sophia Simba.

  Pichani, Sophia Simba akiendeleza KUWALAMBISHA watu NOTI zake......
  [​IMG]
   
 12. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huna hata aibu? nina mashaka na uwezo wako wa scan mambo!
   
 13. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Upumbavu mwengine hauna hata haja ya kujadiliwa leten thread zenye changamoto ya wapi tulipo na tunakwenda wapi.
   
 14. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Akutukanaye akuchagulii tusi. Pia wewe unaunga mkono?
   
 15. m

  majuva Senior Member

  #15
  Mar 28, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  jamaa wana kazi kweli ya kuzunguka vyuoni kuhamasiha migomo nadhani safari hii wataishia patupu hagomi mtu si wanafunzi wala walimu, tumewashtukia na agenda zao binafsi! wanataka migomo iwe ndio njia njia ya kuingilia ikulu, hagomi mtu tena, hata mgomo wa mwanzo wa social science jamaa alikuja few days before!!

  na UDOMASA safari hii mtagoma wenyewe na padri wenu wa chadema, tumechoka na wimbo wenu wa kumtoa DVC-PFA vikao kila siku manafundisha saa ngapi? hamisi, idi, paul, padri, mtumishi, mjauzi, et al wengine hata sio excome lakini kwenye vikao vya udomasa hamkosi kisa mlacha aondoke, hilo dua la mwewe halimpati kuku!

  madau yameshughulikiwa na mnajua tatizo lilikuwa wapi wenyewe mmefuatilia hazina mmeona sasa hivi vikao vya kila siku ohhh mlacha mlacha, tugome tugome vya nini? wasomi wazima hata kuchuja mnashindwa mnaburuzwa na ubinafsi, be informed this time NO mgomo UDOMASA wala UDOSO hata chadema mje muweke kambi
   
 16. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  HTML:
  Mlengo wa Kati
  Today 06:41 PM #1    
  Senior Member
      
  Join Date : 16th February 2011
  Posts : 102
  Thanks
  33
  Thanked 20 Times in 12 Posts
  Rep Power : 21
  
  Kuna watu wametumwa mahsusi kuchafua jukwaa!!!:smash: Tuwe makini sana na hawa watoto!!
   
 17. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Inapendeza kuona kundi la akina Kashaga, Zubeda, wewe na wengineo mnavyojaribu kucheza karata zenu bila mafanikio. Ndugu yangu hapa ni pagumu kuna watu wenye akili zao hapa. Lakini kumbuka wewe sio mmoja wa watu wanaokwenda kutibiwa wala kusomesha watoto ulaya ila unakula makombo bila kujali wanao watarithi nini katika nchi hii !!!!

  Mtu mzima ovyo!!!!!

  Tiba
   
 18. i

  itahwa Member

  #18
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hivi kashaga yuko wapi siku hizi simuoni,yule jamaa kwa pumba kiboko
   
 19. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #19
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Wee una CHUNGULIAJE? ahhhhh........... Unaonaje?

  Mie sijaunga mkono basli nime-WELD mkono.
   
 20. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Kashaga amesepa kwa lugha ya kileo. Nafikiri atarudi hapa kwa jina jipya, lakini nina imani tutamgundua tu.

  Tiba
   
Loading...