Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Hivyo ndivyo ilivyo, na ziada yake ni kwamba:Mkuu hapa umesema kabisa, hii "placebo effect", the fact kuwa mtu umefika nyumbani kwa babu na kupata kikombe, tayari psychologically unajiona umepona, kumbe hakuna kitu ni placebo tu hahahhhhhh
Dawa ile anayotumia babu kwa wasonjo, wamasai na jamii za wakurya licha ya kuitumia kama sumu kwenye silaha zao za kijadi pia huitumia kama "pain killer" kwa wenye maumivu ya mgongo miguu n.k pia kwa wale wawindaji na wanaotembea umbali mrefu huitumia na dozi ni kikombe kimoja kwa mwezi mmoja na nusu!! Hivyo basi kwa wale wenye kuumwa na viungo wakiitumia huona wamepona kumbe ni nafuu ya muda kama ilivyo kwa zi-panadol!!