No control over Religious radio stations over hate speeches

No control over Religious radio stations over hate speeches

Scan na uyapost hapa kama mwenzio alivyofanya, sina library kubwa ya kutunza magazeti kwa zaidi ya miaka 20
 
nina wasi wasi kama serikali inajua kuwa yapo magazeti kama hayo,i thnk the gov is not interested kwa kuwa wanajua hayana athari kwa jamii,may be coverage ndogo.
Naamini wanajua ila kwa sababu haijagusa kwao basi wanakaa kimya ila wakiguswa tu utawawaona
 
Pole sana ndugu yangu Mfalme Suleiman, mwenye busara.
Nchi inaelekea kubaya. Bila kuficha redio Imaan na Alnuur yamebadilika sana pindi hii. Mimi ni msomaji wa Al-nuur tangu 1999. Lakini kutokana na mwelekeo lilikuwa nao siku hizi nimeliacha kabisa. Maana haliongei hata chembe mawaidha ambayo yatamjenga Muislamu au hata jamii kwa ujumla. Ni hatari sana.

ninaamini mabadiliko makubwa yatatokea kwenye nchi yetu na hizi kazi za kifisadi mpaka kwenye dini zitaisha
 
Ni gazeti la kiislam linalotumiwa na jk kueneza udini


LIlikuwepo kabla ya JK, na litaendelea kuwepo hata baada ya JK kwa uwezo wa allah S.w mwingi wa rehema anayeipa nguvu dini yake!
naona
linawaumiza kichwa, tunashukuru kwa kulipandisha chati na kuliongezea idadi ya wasomaji
 
Bakwata mkoa wa mwanza wanatoa tamko juu ya maaskofu kuchanganya siasa/dini. Wapo live kupitia redio imaan fm
 
wazee wa ku cut and paste bora hata ingekua ku copy and paste maana wangeweza ku edit kidogo malumbano ndo zao
 
Hapo ndipo watakapopimwa Ufahamu wao! Hawa watu hawafahamu Bwana! na ili ndilo tatizo! Maaskofu si wapumbavu kiasi hicho wamelelewa katika misingi ya KRISTO ambaye hakuwa muoga kukemea maovu! Wanachofanya maaskofu ni kukemea maovu ambayo hayana mipaka! iwe katika dini ,Siasa na Nyanja nyinginezo! USIFANYE UJINGA UKIWA KATIKA SIASA HARAFU USEME MAASKOFU WAKAE KIMYA! then mambo yanapoharibika uwatafute kusahidia kufanya suruhu! UPUMBAVU WA WAPI HUO??! ningeshangaa kama maaskofu wangesimama Mahekaluni na kuanza kuhubiri ilani za vyama na itikadi za vyama na wakati huo waseme chagua chama hiki! lakini siyo! Wamesema Arusha CCM mmefanya madudu kwa maana mnahatarisha amani ya nchi!, Wanasema Serikali wanaiba na kuongoza wezi kuibia nchi kupitia DOWANS, EPA, IPTL N.K. Hayo yote ni maovu! na wala hawatakaa kimya! kama wakikaa kimya waumini tutawakimbia na kuwaacha pekeyao! na ninaelewa hawawezi kukaa kimya maana wanamwakilisha YESU KRISTO WA KWELI NA MSEMA KWELI!
Tunaelewa kinachowasukuma MASHEIKH ni UDINI! kwa kuwa Rais wa nchi ni MUSLAMU! hawa jamaa wanafanya kosa kubwa kweli kweli! TUTAWAPUUZA TU!
 
Hapo ndipo watakapopimwa Ufahamu wao! Hawa watu hawafahamu Bwana! na ili ndilo tatizo! Maaskofu si wapumbavu kiasi hicho wamelelewa katika misingi ya KRISTO ambaye hakuwa muoga kukemea maovu! Wanachofanya maaskofu ni kukemea maovu ambayo hayana mipaka! iwe katika dini ,Siasa na Nyanja nyinginezo! USIFANYE UJINGA UKIWA KATIKA SIASA HARAFU USEME MAASKOFU WAKAE KIMYA! then mambo yanapoharibika uwatafute kusahidia kufanya suruhu! UPUMBAVU WA WAPI HUO??! ningeshangaa kama maaskofu wangesimama Mahekaluni na kuanza kuhubiri ilani za vyama na itikadi za vyama na wakati huo waseme chagua chama hiki! lakini siyo! Wamesema Arusha CCM mmefanya madudu kwa maana mnahatarisha amani ya nchi!, Wanasema Serikali wanaiba na kuongoza wezi kuibia nchi kupitia DOWANS, EPA, IPTL N.K. Hayo yote ni maovu! na wala hawatakaa kimya! kama wakikaa kimya waumini tutawakimbia na kuwaacha pekeyao! na ninaelewa hawawezi kukaa kimya maana wanamwakilisha YESU KRISTO WA KWELI NA MSEMA KWELI!
Tunaelewa kinachowasukuma MASHEIKH ni UDINI! kwa kuwa Rais wa nchi ni MUSLAMU! hawa jamaa wanafanya kosa kubwa kweli kweli! TUTAWAPUUZA TU!

Maaskofu wamesoma sana thologia ya kikristo wamesoma sunday schools kwa kiingereza wanaakili sana

Masheikh hawajasoma hata kidogo hawana akili wamesoma madrasa tu wamesoma kiarabu hawana akili wapuuzwe

This line of thinking is insane
 
Achaneni nao hao jamaa hawana topic nyingine? Kichaa akikunyang'anya nguo chumaa wala usimkimbize ucjedhaniwa kuwa we ndo kichaa. Waache walalame tu!
 
ccm wanajidanganya. ngoja tuangalie kama uchaguzi mkuu ujao wakimsimamisha mkristo kama watapata support ya waislam wanayoipata leo
 
"Sikubaliani na hoja yako hii kwa sababu katiba yetu haikatazi gazeti kushabikia chama cha kisiasa na hata ktk nchi zenye demokrasia iliyokomaa kama Uingereza kuna magazeti yanayoshabikia vyama vya Labor na consevative! sasa ni kawaida Annur kushabikia CUF bila kujali anaeongoza chama hicho ni Muislamu au ni Mkristo ndio maana Marehemu Mzee Mageni Musobi(Mkristo alipokuwa Mwenyekiti wa CUF tangu 1992-95 gazeti la Annur lilikuwa upande wa CUF! Gazeti hili lilianzishwa rasmi mwaka 1991!"


KUWEKA TAARIFA SAHIHI MUSOBI MAGENI SI MKRISTO WALA MUISLAM NA YUPO HAI ANAISHI NYUMBANI KWAKE NGUDU MWANZA
 
baaana waachen si haki yao ya maoni mbona hamsemi kuhusu MSEMAKWELI, JIBU, UTATU, UTEMI na KIONGOZI mmnayasoma nayo pia yanairritate watu cha msingi ni kwamba magazeti ya dini yafungiwe watu wasome Biblia na Quran tu ukitaka gazeti soma playboy au vp

siku ikitokea MSEMAKWELI,JIBU,UTATU,UTEMI NA KIONGOZI yakaandika habari za uchochezi tutasema na AN NUUR wachochezi lazima tuseme:sick::sick::sick:
 
hakuna haja ya kuwajadili hao waandishi wa hilo gazeti. Mimi huwa silisomi period.
 
nadhani wanaelimu ya madrassa only. yanapaswa kufungiwa. ushauri wa bure kwa waislamu..MKIONA TANGANYIKA PANAWAZINGUA, NENDENI ZENJI. KWANI KULE KUNA KINA MAIMUNA ,MWAJUMA,JUMA ,HUSSEIN,MUSTAFA WENGI TU AU MWENDE SUDANI YA KUSINI WAKISHA KABIDHIWA UHURU WA.
NIMESAHAU, ILI KWA KUWA NYIE MWAPENDA SANA MAHAKAMA YA KADHI NA SHARIA NA UMWAGAJI DAMU, NADHANI SOMALIA PATAWAFAA SANA NDUGU ZANGU,
MTAKUWA HURU KUJILIPUA NA MABOMU KAMA KAWAIDA YENU:boom::boom::boom:

Inaelekea mtanzania wewe unaogopa kufa kweli. Usiogope, hata baada ya kifo kuna maisha, cha kufanya ni kujiandaa tu! usifikiri kujigawa ndiyo waislamu wote wa tanzania wachukue zenj tu? Haya ni masihara. Kwa taarifa yako lazima ipigwe nusu bin nusu, sasa kwa akili zako zisizokuwa za madrassa utapambanua mstari wa mgao upite wapi.
 
mtu yeyote mwenye upeo na alosoma huwa na busara katika maneno namawazo yake
 
habari zenu ndugu zangu wana jamii nimekuwa na maumivu makali sana moyoni mwangu ninapo ona chombo cha habari gazeti la kiislamu kuendeleza chuki zake na chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) hasa kiongozi wake dr slaa, nimekuwa nikifatilia kiundani zaidi gazeti hili ili nijue ukweli uko wapi badala yake naona fitina, majungu, choyo, unafki na mapandikizi ya udini ndani yake.

Si kwamba nimekurupuka katika kuandika page hii hapana ila habari niliosoma leo asubuhi katika gazeti hilo limezidi kuumiza moyo wangu kwa kuamini uenda gazeti ilo likawa linatumiwa na watu flani.

Nimeshuhudia mara nyingi gazeti hilo (an-nuur) likiandika vichwa vya habari vyenye kutaka waislamu wasikiunge mkono cdm bahadhi ya vichwa vya habari ni kama hivi vifuatavyo;

1;maaskofu wataleta ya rwanda na slaa wao
2;chama cha maaskofu cha shindwa uchaguzi mkuu
3;slaa haiba mke wa mtu
na atimaye leo limeandika (waislamu wakumbushwa kuwa makini isije ikatokea kama yale ya slaa na maaskofu) katika kurasa zake za mbele sasa nilicho jiuliza walioyafanya maaskofu na slaa ni yapi? Nikaamini kuwa gazeti ili linaweza kuwa ni kwa ajili ya maslahi ya chama cha mafisadi.

Sikuishia hapo badae niliamua kumpigia simu mhariri wa gazeti hilo na alipo pokea nilimuoji yafuatayo:
1; kama wameona chadema ni chama cha kidini na viongozi wake ni wabaguzi nilimuomba anitajie chama ambacho kinafaa kwa watanzania
2;dhamira ya kuanzisha gazeti hilo la kiislamu ninini? Sikupata majibu na badala yake simu ilikatwa na nilipojaribu kupiga tena haikuwa na majibu mwisho wake nikatumiwa sms iliyosema kama nimetumwa na chadema nimegonga mwamba je hii ni haki kwa jamii? Naomba maoni yenu ndugu zangu vilevile ushauri wangu kwa watanzania hasa waislamu kuwa kujiunga na chadema sio dhambi kuunga mkono chadema sio makosa hivyo wasiwe na mashaka wanapotoa ushirikiano wao kwa chadema


 
Achana nao hao ndugu ukimuona huyo mwandishi yaani njaa tupu na ni choka mbaya ile yebo yebo ya buku jero imetoboka kisigino anaandika habari gazeti halinunuliki linaishia Pwani tu. Ni watu wanaoganga njaa tu!
Wasikuumize sana piga moyo konde mapambano ndio yameanza na ipo siku watz wakiujua ukweli wanafiki wote watakunywa sumu
 
Back
Top Bottom