Recent content by Mairo

  1. Mairo

    Secret to a happy marriage is...

    This is very good question! Big up Geoff!
  2. Mairo

    Hivi ndivyo Lowassa alishiriki Richmond

    Mkuu Rev Upo? I would like to read your comments on this!
  3. Mairo

    In Edward Lowassa, I trust...

    Rev. Ningekushauri uyahusianishe mabaya na mazuri yake ndo ujaribu kupiga campaign! Inawezakana huyajui mabaya yake yote aliyoyafanya! Fanya comparative analysis iyo halafu urudi utueleze!
  4. Mairo

    Deconstructing Lowassa

    Ninachoweza sema kwa hili ni kwamba ili tupate tanzania yenye maamuzi ya msingi na kwa maslahi ya nchi, wananchi wenyewe ndo wenye nguvu ya kuamua hilo, lakini nasikitika kwamba wananchi hatujajua nguvu tulionayo katika kufanikisha hili. Ubinafsi, usaliti na tamaa ya kupenda njia za mkato...
  5. Mairo

    NBC Corporate panawaka moto?

    Duh tuhabarisheni jamani! Ila kama ni kweli huu mzimu wa moto ni kawaida au kuna jambo hapo?
  6. Mairo

    Mkwawa High School mpo?

    vipi kuhusu mwl Garigo na Mr. Tende? Duh mambo ya bomba tatu! Life lilikuwa tamu sana na shule inapigwa.
  7. Mairo

    Nini Cha kujifunza toka kwenye Picha hii?

    He is close to his voters! Au hujui 2010!
  8. Mairo

    I am sorry mabinti wa kichagga

    ndugu zanguni, mmeanza kutupiana maneno bila ya kuidadavua hoja ya jamaaa kwa undani. Yeye anahitaji experience tofautitofauti toka kwa wasichana tofautitofauti wa kichaga ili aweze kuhitimisha kama aliyokumbana nayo yeye pamoja na rafiki yake ni sahihi kwa wanawake wote wa kiachaga. Mi nadhani...
  9. Mairo

    Taarifa ya daktari wa rais

    Dah mi hata sijui nimwamini nani katka hili. Ila LISEMWALO LIPO KAMA HALIPO LAJA. ngoja nisubiri kwenye kona, huenda nikaja kutambua ukweli siku za mbeleni.
  10. Mairo

    Julius Kambarage Nyerere Biography

    Sioni tatizo la msanii akihoji kelly awe more open! Kwani kuna tatiza gani Kelly akitoa details zaidi kuhusu hiyo opportunity? Mfano sidhani kama majina ya hao maprofesor kelly hayajui, why dont she give out their names, from which Faculty are they belonging na pia where else in the Edniburgh...
  11. Mairo

    Wiki ya nenda kwa Usalama

    Poleni jamani!kwa foleni natumai wazee wa feva watajitahidi kuwa imara katika kusimamia foleni japo iende fasta fasta. Nipo morogoro hapa shamrashamra za wiki ya nenda kwa usalama hapa sio kubwa sana japo hawa wazee wa feva wamejitahidi kutanda barabara zile muhimu muhimu na pia ukaguza...
  12. Mairo

    Dude na wenzake wala za uso Mwanza na Kahama

    Duh mtu mzima kabota, jaribu kufafanua zaidi inaonekana wadau wengi hawajakuelewa. Mie pia binafisi nafanya kuhisi ujumbe wako ila sina uhakika kama ninavyofikiri ndo ulivyomaanisha! elobarate please!
  13. Mairo

    wanawake na wasichana wa dar..

    Mkuu veracity, nakuunga mkono sana. Kupata chanzo cha habari ni kitu muhimu sana ili kuweza kujua ukweli wa taarifa na hata kutathmini uhalisia wa mawazo ya mtu. Mara pengine mtu anaweza kutoa mawazo yake au taarifa akadhani kwa uelewa wake ni sahihi lakini kumbe kwa jamii sio sawa na...
  14. Mairo

    CCM ilivyo sasa haiokoleki wala haibebeki hata kwa Machela!

    What i can say is that MMKJJ is in the right path!Keep it up
  15. Mairo

    Msaada wa tyre nzuri za gari na bei nafuu

    Aisee Chaku hakuna tairi low quality kama Vee rubber! yaan iogope sana, iyo ni tairi ya china. Ingawa kuna brand zingine za china ambazo zinadumu mfano GT Radial, SIAMTYRE na Goodride. Hizi zina uafadhali ukilinganisha na Vee rubber. Pia katika size unayotaka kubaidli mi nakushauri uweke 205...
Back
Top Bottom