Haupo sahihi katika hili.Hili ni jambo serious kabisa.Hivi unategemea kijana ambaye hana discipline na mwili wake au hajipendi kwa kufanya mambo ambayo hayakubaliki katika jamii anaweza kuleta mabadiliko ya dhati katika nchi??!.Kwa sasa tuna-struggle kwa kila jinsi ili kuinasua Tanzania katika umasikini na aibu,na ikiwa vijana wakaachwa wanaangamia itakuwa ni tatizo jingine.
Vijana wa vyuo vikuu na walioko katika sekondari za mabweni ndio wapo pia katika hatari hiyo.Mimi nilisoma katika shule ya bweni na nilikuta mtindo wa kuchaguana familia kama baba ,mama na mtoto.kulikuwa na malalamiko kuwa wengine walikuwa wanapitiliza wanafanya kweli.Wakati huo sikuwa naelewa lakini sasa ndio naona hatari yake kwa mambo kama hayo yakiendelea sana yanajenga hisia kama mahusiano mengine na mwishowe ndio huo usagaji.