NBC Corporate panawaka moto? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NBC Corporate panawaka moto?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Invisible, Oct 22, 2009.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Kuna taarifa za sekunde kama 30 zilizopita kuwa jengo la NBC makao makuu almaarufu kama NBC Corporate linawaka moto.

  Mlio jirani na eneo hili tufahamisheni tafadhali
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  He...heheee!
  Ni nini tena?
  Wanaficha dokomenti gani hao?
  Embu tupe zaidi Robbot, nahisi hapo pana namna.
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Mungu aepushe madhara kwa binadamu na mali zao.
   
 4. Mairo

  Mairo Member

  #4
  Oct 22, 2009
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh tuhabarisheni jamani! Ila kama ni kweli huu mzimu wa moto ni kawaida au kuna jambo hapo?
   
 5. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2009
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Duh masikini vijisenti vyangu! Lkn nahisi hakuna madhara kwa wnadamu? Mliopo maeneo ayo mbona mpo kimya jamani?!!
   
 6. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,800
  Likes Received: 2,480
  Trophy Points: 280
  kuna mdau ameniambia inwezekana ni Fire drill testing inayoendelea ila nitawapa taarifa zaidi zinavyozidi kujitokeza mpaka sasa hivi wafanyakazi wote wapo njee ila hawajajua nini kimetokea kwa kuwa wamesikia alarm tu.

  Kwa hiyo ndo ndo maana jama amesema kuwa inawezeka ni fire drill
   
 7. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #7
  Oct 22, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Alarm tu hakuna chochote , watu wako nje ya maofisi wanashangaa hapa.
   
 8. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2009
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Ok tunakusikilizia Chaku
   
 9. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,800
  Likes Received: 2,480
  Trophy Points: 280
  Yes it is now confirmed kuwa ilikuwa ni fire drill testing.

  hakuna moto wala cheche.

  Kuwa utulivu hela zenu ziko salama na ndugu wetu wote wa pale wapo ok.

  kazi njema
   
 10. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2009
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Shukrani kaka, jioni njema.
   
 11. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #11
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Inasemekana kuwa hapo Corporate palikuwa na tatizo la umeme tangu juzi na kazi kadhaa zilisimama...

  Kwa kuzingatia hilo na wakisikia milio ya alarm ni rahisi wengi kuunganisha kuwa ni moto tu! Heri kama ni testing tu, pia nadhani ingekuwa vema wangewafahamisha staffs wote mapema kabla ya tests za namna hii, watu watavunja miguu sasa!
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  teh teh
   
 13. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,800
  Likes Received: 2,480
  Trophy Points: 280
  Ok ni kweli ila kulingana na testing za hivi vifaa ni kwamba huwa hakuna taarifa iayotakiwa kutambulishwa kwa wafanyakazi kwa kuwa ni internal secret na inakuwa kwenye coopeerate level.

  Pia inapotokea mauditer wanataka kutest kama hizo fire drilling alarm kama zinafanya kazi properly pia inakuwa vivyo hivyo.
   
 14. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hapo pekundu anzia hivi Ndugu wetu wote na pesa zetu ni salama. Usianzie pesa
   
 15. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ni kweli ila Gorofa ya 2 upande wa COLLECTION UNIT kuna shoti ya umeme na tangu juzi upande wa credit kazi hazifanyiki. Pia seva ni kimeo kwa watu wa matawini watakubaliana na mimi kuwa leo huduma zilikuwa F KAMA SI Z.
   
Loading...