Julius Kambarage Nyerere Biography

Julius Kambarage Nyerere Biography

This must not be taken seriously,kujenga bustani,na chemchem za maji,wakati kuna shida ya maji Dar es Salaam.
 
Sioni tatizo la msanii akihoji kelly awe more open! Kwani kuna tatiza gani Kelly akitoa details zaidi kuhusu hiyo opportunity?
Mfano sidhani kama majina ya hao maprofesor kelly hayajui, why dont she give out their names, from which Faculty are they belonging na pia where else in the Edniburgh can that information be found. Kwa jinsi ninvyofahamu kama ni PhD opportunity iliopo open kwa watu wote lazima kuna sehemu channel zingine ambazo watakuwa wametumia kuinvite applicants kama their website etc sio kupitia kelly pekee sasa, kama kelly anazo si amwage ti jamvini watu wacheze nazo? ni hayo tu kkwa leo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom