Dude na wenzake wala za uso Mwanza na Kahama

Kabota

Member
Aug 15, 2009
63
10
Waigizaji wa kipindi cha Runinga cha Bongo Dar es Salaam kinachorushwa kupitia kituo cha TBC1 wamejikuta wakila za uso katika maonesho yao yaliyofanyika Kahama na Mwanza siku ya Eid Mosi na Pili.

Katika onesho ka Mwanza jamaa hao wakiongozwa na Dude na ambao walikuwa wamepelekwa Mwanza na Kahama na kampuni ya VSS waliishia kuchezesha watoto muziki na kuwapa zawadi huku wakishindwa kuzikonga nyoyo za mashabiki wachache waliokuwa wameingia kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.

Kwa ufupi show yao ilikuwa haina kipya zaidi ya kuchukua binti mmoja hivi mrembo mwenye figure ambaye kwa wasukuma hapo ndo penyewe!
 
sasa binti kama kashoboka kwa nini asilambwe? Hilo ndio lililowafanya muwapige?
 
kaka naungana nawewe, Mtu wa pwani uko sahihi. Jamaa hata sijui alikuwa anafikiria nini maana haeleweki nini anataka kwa kina Dude. Ajaribu kuweka sawa maada yake.
 
Duh mtu mzima kabota, jaribu kufafanua zaidi inaonekana wadau wengi hawajakuelewa. Mie pia binafisi nafanya kuhisi ujumbe wako ila sina uhakika kama ninavyofikiri ndo ulivyomaanisha! elobarate please!
 
Waigizaji wa kipindi cha Runinga cha Bongo Dar es Salaam kinachorushwa kupitia kituo cha TBC1 wamejikuta wakila za uso katika maonesho yao yaliyofanyika Kahama na Mwanza siku ya Eid Mosi na Pili.

Katika onesho ka Mwanza jamaa hao wakiongozwa na Dude na ambao walikuwa wamepelekwa Mwanza na Kahama na kampuni ya VSS waliishia kuchezesha watoto muziki na kuwapa zawadi huku wakishindwa kuzikonga nyoyo za mashabiki wachache waliokuwa wameingia kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.

Kwa ufupi show yao ilikuwa haina kipya zaidi ya kuchukua binti mmoja hivi mrembo mwenye figure ambaye kwa wasukuma hapo ndo penyewe!

Anamaanisha kua shoo zao hazikupata watu
 
Ohh poleni sana kama lugha niliyotumia imewachanganya kidogo. Kula za uso kwenye mambo ya shows imaanisha kutopata watu wengi. Hivyo mwandaaji alikula hasara. Show yake haikufana hata kidogo. Huo ndo ukweli na nilikuwa nawapa tu news siko malicious.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom