Recent content by Ma Tuma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Napendekeza dr magufuri awe pm wetu mpya kama una kubaliana na mim vote na like hapa

    apewe magufuli.wa tz imefika wakati tuendeshwe kama gari bovu.tumezidi kulala.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ndogo inanichanganya

    huko ku-share sikushauri.ukimwi unaua.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la moyo (heart attack)

    hongera dr haya ndio mambo yanayofaa kuelimisha jamii.hongera kwa upendo wako.tutazingaia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ray taratibu tafadhali

    isitoshe it's too early kusema amebaki yeye.je aliomba afe ili abaki? Ray think twice
  5. M

    JamiiForums Tanzania Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

    hata katika mazishi ya kanumba polisi wamediriki kuwapiga watu.nimeshuhudia mama mmoja kupigwa eti wanazuia fujo.je hakuna njia nyingine ya kuzuia fujo zaidi ya kupiga na kupiga risasi? Polisi vilaza!
  6. M

    JamiiForums Tanzania mikopo kuanzia mil.10 mpaka billion 2 inapatikana

    mie nataka nakupigia sikupati,si unajua tigo ovyo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Former IGP Harun G. Mahundi IS NO MORE

    Anakaa mikocheni .tegeta alihamia?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Former IGP Harun G. Mahundi IS NO MORE

    oh! Jamani kamfuata mkewe.let them rest in peace.bwana ametoa na ametwaa.jina la bwana lihimidiwe.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ebu shangaa kikwenu tuone

    1,nani yoyooooo! 2.amae kotoooo!ruvuma
  10. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo:ukienda uwanja wa ndege jnia beba na mawe kwenye gari yako

    sio airport tu.maeneo ya sinza,kijitonyama ndio usiseme kila siku kama wanavuna pamba.ipo siku dawa inapikwa.polisi wanawajua.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Unawakumbuka ma-headmaster maarufu in 80s to 90s?

    tuwakumbuke na primary school. Mwalimu msengeni muhimbili pr school.ambae amefariki hivi karibuni
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mnyama Nimpendae

    hujafa hujaumbika.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mlimani city 'si salama?'

    na sio kuiba tu laptops.bali wanatoa kila kitu ndani ya gari.power window,taa,sidemirrow n.k.maeneo ya sinza,kijitonyama wezi wameshaniri.tujumuike kuwaua.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Afungwa siku 14 kwa kuvaa mlegezo mahakamani

    hao wavaao mlegezo wakamatwe.pia waoneshao matiti nje wakamatwe pia.
Back
Top Bottom