Nyumba ndogo inanichanganya

Nyumba ndogo inanichanganya

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
Kwakweli haka kabinti ni kazuri sana na nimekuwa nako kama mwaka sasa.
Sasa hivi kananiambia kamepata mchumba kwani nami pia nina mke. Uroda kanaendelea kunipa ila ikifika jumamosi sikaoni tena eti kanakwenda kwa faience wake.

Ofcoz inauma ila shida yangu ni moja how can I justify kwamba alikuwa kweli kwa huyo fiancee wake alikuwa tena anapiga kazi za nje? Nikitakaga kukatema kanabembeleza kweliiiiiiiiiiiiii mpaka namwonea huruma.

Please JF advise how can I go about it?
 
Nduka Original wivu wa nini? Ameshakwambia ni mchumba wake kwa hiyo wewe saizi ndiyo unamuobia huyo fiancee. Kama una mashaka mwambie athibitishe ili ijiridhishe.

Lakini ni wazi roho inakuuma, sijui kwa sababu unatoboka sana, wewe mkali au kabinti kakali kote kote yaani kifigure na kwenye mambo yetu yale!!!!!!!

Ukweli unaujua mwenyewe ila mpe kampani aolewe bana acha kujitia umempenda sana wakati una wife na familia nadhani.
 
ulisha kosea game ....sasa wewe endelea kukala uroda tuu bana wala usijali kuhusu huyo mchumba wake...infact u sbuld be happy maana anakupa utamu nd mchumba has to deal na mwanamke dishonest
 
ulisha kosea game ....sasa wewe endelea kukala uroda tuu bana wala usijali kuhusu huyo mchumba wake...infact u sbuld be happy maana anakupa utamu nd mchumba has to deal na mwanamke dishonest

Nilishakosea nini tena, honestly uroda napata bali ile kujua kabisa sasa kanachapwa na mtu mwingine, weeeeeeeeee it is really paining
 
Of coz kako imara kila idara na kweli nilikuwa natoboka sio ndio ka sub house kangu bana. By the way an not sure whether this stupid chap will get married to her or she is just playing around!!! MY GOD AM JUST GETTING CRAZY
 
mla vya wenzake always na vyake uliwa mkuu.....
 
Huyo binti lazima anakuchuma pesa yako weeeeee, na kama sio pesa yaani wewe mbaili basi lazima kuna kitu anagain toka kwako.

Ila unatia aibu kwa kweli as sipendi wanaume wenye tabia yako. Mnaniudhi sana hauoni aibu ukimwangalia mkeo?

Je ukileta magonjwa kwenye ndoa yako utasema nini?

Acha kuwa buzi eti anakuzuia kumuacha mmmmhhhh? Badilika
 
mmmh sina hata na la kusema.usije ukaniona mbaya bure.in short,huoni aibu na hayo maelezo yako?
I was about to say the same. Mtu una mke wako wa ndoa kabisa, bila aibu unataka sisi tukupe mbinu za kuhandle nyumba ndogo?
 
dah sijui niseme nn, kwa kifup hiyo tabia cjaipenda, ila we mtu mzima unajua unachokifanya
mpende mkeo, wakati mwingine mume au mke anaweza kukufanya ukaanza kucheat, sasa usipoangalia huyo mkeo unaemuamin kwa hzo 100 % anaweza akaanza tabia kama yako ikiwa atagundua ww pia si muaminifu
 
bonge la network!

Nyumba ndogo in mchumba, mchumba ana hawara hawara ana buzi na mpenzi buzi ana mke, mke ana kidumu.....nk nk nk

tukija kwako mume una mke mke ana kiserengeti boy, kiserengeti boy kina mademu 2 mademu wawili kika mmoja ana wanaume 2.....

Full mvurugano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom