mikopo kuanzia mil.10 mpaka billion 2 inapatikana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mikopo kuanzia mil.10 mpaka billion 2 inapatikana

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by billykelly, Apr 6, 2012.

 1. b

  billykelly Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natoa mikopo kuanzia milioni 10 mpaka bilioni 2 , kwa mawasiliano piga namba 0716632593
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,997
  Trophy Points: 280
  Mkuu nadhani upo kwenye biashara, namaanisha ukikopesha unategemea upate faida.
  sasa Tangazo kama hili uliloliweka unategemea kupata watu kweli?,

  Kama una muda wa kuweka tangazo kwa nini usiweke kitu ambacho kitamvutia mtu kukupigia simu?, kama ni shida kuandika muda huu, kwa nini usiandike vizuri na ukaja kuiattach tu hapa

  Mara nyingi unachokiandika kinareflect jinsi ulivyo/ama organization yako ilivyo

  hebu rudi tena na edit hiyo post yako kwa kuweka Detailz (Riba, ukikopa unaanza kukatwa baada ya muda gani, dhamana zinazohitajika nk) ili tuvutike kuja kukopa
   
 3. b

  brian360 JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  We need to see riba hapo
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  jf sio wajinga uje na kamstari kamoja tukutetemekee na hela zako,haya ni majivuno
   
 5. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,992
  Likes Received: 990
  Trophy Points: 280
  Post ya tatu,mkopo bilioni 2 na numba ya mobile tu bila maelezo zaidi!!!
   
 6. M

  Ma Tuma Senior Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mie nataka nakupigia sikupati,si unajua tigo ovyo
   
 7. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,540
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  unatoa kwa riba ya shilingi ngapi ?
   
 8. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Billykelly, au unatutania mkuu? Watu tuna kiu ya kujikwamua, tafadhali be serious. Jibu basi hizo hoja ndugu.
   
 9. mwanawao

  mwanawao JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 1,982
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280
  Usanii tuuu,, hakuna mtu anayeweza kutoa bilioni moja atakayeweza andika kitu kama ulichoweka hapa,, kama kweli unatoa hiyo hela inawezekana hujaitolea jasho ni hela haramu unataka kuisafisha..
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Pokea simu sasa.
   
 11. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #11
  Apr 7, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unatoa kama nani? Wewe ni bank, financial institution, Finca, easy finance, credits organization au una kampuni ya kutoa mikopo iliyosajiliwa na kutambulika? Haiwezakani ukawa unatoa mikopo wewe kama wewe mpaka bil 2 labda ziwe ni hela haramu unataka kuzisafisha. Benki wenyewe kukupa mil 100 ni shida hata kama unasecurity achilia hiyo bil 2.
  Inawezekana umeandika tu kwa kujifurahisha na kutaka kuwapotezea watu muda, lakini someone serious in business angetoa detailz zaidi ili watu waelewe, kwanza ulivyoandika unaonekana hauna hata hiyo taaluma ya masuala ya mikopo!
   
 12. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #12
  Apr 7, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ooh Boy!
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Apr 7, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mods fungia hii
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  are u serious?
   
 15. s

  shosti JF-Expert Member

  #15
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahahaahhahha haki ya mungu...mbona utawapata
   
 16. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #16
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Hiyo hela ni yote umetoa wapi?
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  atawapata kina nani?
  wanaotaka kukopa?
  au wadada watakao ingia mkenge wa kuamini anazo za kumwaga?
   
 18. s

  shosti JF-Expert Member

  #18
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  wanaotaka kukopa bwana mbona umeenda siko!
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  na wadada pia...atawapata lol
  halafu nna kesi na wewe aisee
  unitafute kwa muda wako
   
 20. L

  LAT JF-Expert Member

  #20
  Apr 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  guys ...lets give this chap a chance to prove it and someone has to extract a testimonial on this matter .... i hope we have the contacts and something will be proved so ....
   
Loading...