Ray taratibu tafadhali

Ray taratibu tafadhali

kwa tunaofuatilia bongo movies mnaweza thibitisha hapa...kwamba ray hutoa movies kila mara baada ya kanumba(rip)....!na siku xote hutoa movies kwa concept ile ile ya the great...!

ray si mbunifu.....!na hatakaa awe kwenye caliber ya the great(rip)

Eti nasikia marehemu alikuwa ameshamshitukia, na aka kaugomvi kao ka mara ya mwisho ni haya, haya ya kumuigilizia, mwenzie akisema ameona shati zuri la gucci, yeye faster hata kama hana hela kuna mahali anachukuaga vya mkopo, kwa hiyo kabla mwenzake hajavaa, anakuta yeye ndo keshavaaa, mara ya mwisho mnakumbuka kuna picha ya lulu na ray wamebambana kiutamu, nasikia pia aliigilizia kum-bamba kutoka kwa kanumba, gari pia mwenzie katika kupiga story na swahiba, kwamba swahiba eeheeee nina mpango wa kununua lexus nyeusi yeye huyo akakimbilia kununua wa kwanza kumbe kadesa wazo la mwenzie, nasikia hata mwenzie alikuwa akinunua c.upi na yeye ananunua hiyo, hiyo kanumba alijiita kanumba the great, yeye akadesa kujiita the greatest wakati kanumba ndo the greatest katika hali halisi mlivyoiona, kwani wasanii wangapi wamekufa hatujaona watu wakishikwa na simanzi kama hivi, hasifikirie kuwa kwa kujisemesha semesha hivyo atamfikia the greateast (R.I.P) Kanumba.
 
isitoshe it's too early kusema amebaki yeye.je aliomba afe ili abaki? Ray think twice
 
Naomba kuuliza, hivi hapa DAR kuna vyuo vinavyofundisha namna ya kuongea kwenye hadhira(Public Speaking)?
Kama vipo, ni vyema tumshauri mwenzetu akajiunge navyo ili asije akarudia haya makosa..............Maana kuna siku ataalikwa kwenye chakula cha hisani halafu afedheheke bure.
 
samahani kama nitakukwaza, lakini unaweza kubadili hiyo avatar yako. sorry again:disapointed:

Anatakiwa afanye hesabu hizi,ni watu wangapi wamefariki baada ya 1999 alipokufa baba wa taifa,i mean watu hao wote walihudhuria kumuaga baba wa taifa,pamoja na wale waliohudhuria kwenye maziko ya kanumba wengi wao kama si wote walikuwepo kwenye msiba wa baba wa taifa,alafu akumbuke pia na huyo marehemu mwenyewe Kanumba alikuwepo kwenye msiba wa baba wa taifa,hapo ndio atagundui lipi tui na yapi maziwa!!!
 
vyuo viko kibao, pesa yako tu. tatizo hawa watoto wamelewa na visenti vya muvi hivyo they think ndio maisha. kuna msanii mmoja kilaza zaidi ya Ray, yuko kwenye tasnia ya music yeye, sitaki kumtaja humu, alikwenda LOndon, bendi ilialikwa, kwa u mbumbumbu wake, akatangaza kwenye media baada ya kurudi bila aibu "kusoma nini bwana, mimi class seven tu lakini nimefika London, watu wamesoma mpaka PhD lakini hawajawahi panda ndege". ndio wasanii wetu wa bongo hawa. Elimu kwao sio issue.



Naomba kuuliza, hivi hapa DAR kuna vyuo vinavyofundisha namna ya kuongea kwenye hadhira(Public Speaking)?
Kama vipo, ni vyema tumshauri mwenzetu akajiunge navyo ili asije akarudia haya makosa..............Maana kuna siku ataalikwa kwenye chakula cha hisani halafu afedheheke bure.
 
Ray katupia picha za kanumba akiwa amekufa jamani..yeye angefurahi kujiona vile
 
Nimemsikia Ray kwenye DW akidai eti umati wa watu uliohudhuria kuuaga mwili wa Kanumba ni mkubwa sana kuliko ule wa hayati mwl. Nyerere! Halafu eti kwenye tasnia ya filamu amebaki peke yake!

Ray acha kujiinua na wala hauko peke yako kama unavyodai. Halafu, hivi unajua Nyerere aliagwa kwa siku ngapi pale uwanja wa taifa, tena usiku na mchana? Unataka kusema umaarufu wa kanumba ni mkubwa sana kuliko ulivyokuwa / ulivyo ule wa Nyerere?

Uyu ndo Alitakiwa Apasuliwe Ubongo ...
 
ameniboa sana huyu ray 'na from the bottom of my heart najua amefurahi but itamkosti kwa vile ana kiherehere
 
sanaa bila elimu ni kazi.hapo ndipo akili zake zilipoishia tumsamehe bure tu
 
Najua kuna watu wehu na vilaza duniani, lakini bado siamini kama Ray anaweza kuwa kilaza to this extend.,
Hadi nije nisikie hayo mazungumzo ndo nitaamini, mtu mwenye akili zake hawezi ongea Upup.u huu.., narudia tena HAWEZI KAMWE kuongea upup.u huu.
 
cndo apo!mpuuz kwel uyu wamkamate nae kwanza kwanini afike eneo la tukio wa kwanza..af jisura lake limekaa kizandikzandik na kiuongo uongo

Swts, in reality kuvuja kwa pakacha...
Ray alifunikikwa sana na marehemu dats y anaona kama now ata shine but I am sure hatafanya vizur maybe kama mie ninamchukia tu.
 
Nimemsikia Ray kwenye DW akidai eti umati wa watu uliohudhuria kuuaga mwili wa Kanumba ni mkubwa sana kuliko ule wa hayati mwl. Nyerere! Halafu eti kwenye tasnia ya filamu amebaki peke yake!

Ray acha kujiinua na wala hauko peke yako kama unavyodai. Halafu, hivi unajua Nyerere aliagwa kwa siku ngapi pale uwanja wa taifa, tena usiku na mchana? Unataka kusema umaarufu wa kanumba ni mkubwa sana kuliko ulivyokuwa / ulivyo ule wa Nyerere?

Ndo hivyo masikini akipata ****** hulia mbata
 
Tutaona na yeye akifa ni wangapi watamzika
 
Back
Top Bottom