Recent content by Latifah Ayoub

  1. Latifah Ayoub

    JamiiForums Tanzania Robot ya ajabu !

    Mbona dubwasha lenyewe halijui kutembea vizuri? Dah ila inasikitisha wanavyompiga kaka wa watu
  2. Latifah Ayoub

    JamiiForums Tanzania Atumiwa vuzi la kichawi kitandani

    Makubwa!!
  3. Latifah Ayoub

    JamiiForums Tanzania Ziwa Tanganyika, ni mlango wa Kuzimu

    Kama mlango wa kuzimu upo Afrika,basi hata shetani atakuwa ni mweusi tu
  4. Latifah Ayoub

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Diamond ''utanipendaga'' ni dongo kwa Lowasa?

    Kweli hii JF Kila mtu yupo huru kutoa wazo lake,haijalishi ni la kijinga kiasi gani Viva Jf
  5. Latifah Ayoub

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutazama picha/video za ngono ni hatari sana

    Hiyo number 3,hivi shetani anatakiwa kulaumiwa kwa kila kitu akifanyacho mwana adam? Number 2,porns ni unrealistic kivipi? Kwani wanayoyafanya we huwezi kuyafanya?
  6. Latifah Ayoub

    JamiiForums Tanzania Bwana Mkapa kama huamini uwezo wa JPM, gombea urais 2020

    Hao wazee wanazeeka vibaya sasa,kama huyo bitozi wa msoga si ametoka juzi juzi tu? Leo anaenda kufanya nini? Basi kuwarahisishia,ianzishwe wizara ya marais wastaafu Na ofisi yake ijengwe hapo hapo ikulu Miguu inawawasha hao
  7. Latifah Ayoub

    JamiiForums Tanzania Single girl akiona hii lazima atukane

    Hovyooo!
  8. Latifah Ayoub

    JamiiForums Tanzania Leo katika Historia: Mambo (facts) ambayo popote huwa hayaelezewi au kumfundisha

    Mkuu,hiyo number 6 Ufafanuzi kidogo.
  9. Latifah Ayoub

    JamiiForums Tanzania California yakataa kondomu katika filamu za ngono

    Hahaha Wenzetu wameshazichoka,nafikiri hata huku bei yake itapungua sasa Kilo moja ya c*dom itakuwa sh 50.
  10. Latifah Ayoub

    JamiiForums Tanzania Akili na Bahati kimetangulia kipi?

    I will answer u as simple as u ask. Bila Akili huwezi kutofautisha kati ya 'Bahati' na 'Mikosi' Na bila kuwa na Akili huwezi kujua kama kuna kitu kinaitwa 'Bahati' so Akili ndiyo ya kwanza..!
  11. Latifah Ayoub

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu ananinyima unyumba

    Teh teh,,,hapa kazi tu#
  12. Latifah Ayoub

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    Nami niweke au!!?
  13. Latifah Ayoub

    JamiiForums Tanzania Kwanini condoms zinakaa tatu?

    Upo
  14. Latifah Ayoub

    JamiiForums Tanzania Kwanini condoms zinakaa tatu?

    Anakuja kwang
  15. Latifah Ayoub

    JamiiForums Tanzania Kwanini condoms zinakaa tatu?

    Teh,,,jamani
Back
Top Bottom