Mume wangu ananinyima unyumba

Mume wangu ananinyima unyumba

Dah... Sijawahi kuona mwanaume mkamilifu akakataa papuchi ya mkewe bila sababu ya msingi... Huyo piga ua, lazma anasababu zake tu... Ni vizuri akuweke wazi, Tafuta njia mpaka ujue tatizo, Sio bure... Usiwe mtu wa kupotezea kiurahisi namna hiyo, Pigani haki yako...
 
Pigania haki yako mkuu, ni mumeo, ni ndoa yako wewe na yeye, usilaze damu, miaka nane ya ndoa si haba, pigania ndoa yako
 
Pole sana mpendwa. Inachosha sana hasa ikiwa wewe ni mwaminifu kwa dhati.

Nikushauri kitu kimoja, usiku sio wakati wa kuongea jambo la maana. Kwa sababu wewe na yeye wote mmechoka na mna stress za kutwa nzima. Wakati muafaka ungelikuwa asubuhi pindi tu mkiamka kabla hamjatoka kitandani. Ungeweza hata kutoka nae nje ya nyumbani mkabarizi mahali naye mkaongea.

ahsanteni kwa ushauri wenu, hapa nimekaaa namsubiria niongee nae kwa mara ya mwisho kabisa, nitamueleza yaliyo moyoni na kumsikiza anasemaje.
 
Sababu ni Moja kati ya hizi
Kwanza ana mchepuko sehemu na hilo halina ubishi na huo mchepuko ni mzuri kuliko wewe au unajua sana kumhandle sita kwa sita
Pili nyinyi wanawake some times mnakuwa watu wa kusubili kupandishiwa stimu....anza we we na jitume kwelikweli ma mitego ya hapa na pale

Vinginevyo kuna jambo hapo katikati cozi kawaida mume akikaa wiki moja tuu ugwadu wa kusex unakua umepanda asilimia kubwa sana na sometimes razima u-undergo nightdreams bila wewe kujua kupunguza hiyo situation....pole sana
 
Pole sana dada Monika2, mdogo wako mie pia napitia hali kama yako. Soma ushauri wa member hapa pia upitie na ushauri kwenye thread yangu. Tena naona tulianzisha jana kwa pamoja. Kisha changanya na zako ufanye maamuzi.

Habari zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.

Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.

Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote
hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.

Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba.

Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!

Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.

Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,
hili swala linanikondesha jamani naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
 
Wanaume siku hizi wanaringa kumbe? Pole mwaya, nilikuwa naongea na ndugu yangu ana miaka 3 hajaonjeshwa hata kubipu. Usitake kujua wanaendeshaje ndoa yao, ni sad story zile anasemaga lara 1 watu wanakomaa na ndoa wasionekane wameshindwa ila ni housemates.
Pole sana dada Monika2, mdogo wako mie pia napitia hali kama yako. Soma ushauri wa member hapa pia upitie na ushauri kwenye thread yangu. Tena naona tulianzisha jana kwa pamoja. Kisha changanya na zako ufanye maamuzi.
 
Sad story ni kuwa inawezekana dada anatongozwa na wanaume wengi tu, wengine flashing money around lakini anampenda mumewe na hatamani hata kumsaliti.

Hivi ukimnyima unyumba mwenza mwaka mzima, halafu ukamkuta kona anaburudishwa unaweza hata kuuliza why?
Dah... Sijawahi kuona mwanaume mkamilifu akakataa papuchi ya mkewe bila sababu ya msingi... Huyo piga ua, lazma anasababu zake tu... Ni vizuri akuweke wazi, Tafuta njia mpaka ujue tatizo, Sio bure... Usiwe mtu wa kupotezea kiurahisi namna hiyo, Pigani haki yako...
 
Habari zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.

Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.

Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote
hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.

Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba.

Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!

Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.

Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,
hili swala linanikondesha jamani naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.

Pole sana Monika,
Unaomba jinsi ya kujinasua? Mna maelewano ya kutosha?

neno ''kujinasua'' linaniletea maana nyingi kichwani ila unaweza kufanya yafuatayo;

1. elewa kwamba tatizo si lako, usichukue muda mwingi kujilaumu na kujiona mkosaji wakati kwa upande wako upo sawa kabisa
2. tafuta ushauri kutoka kwa wakubwa katika familia yako kwanza

If you dont mind pm....
 
Habari zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.

Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.

Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote
hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.

Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba.

Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!

Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.

Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,
hili swala linanikondesha jamani naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
Pole mamy we miezi 3 unalalamika mie hata sita huisha na wala sina mpango wa kumuuliza ila mawasiliano yapo kama kawaida
 
Habari zenu,
Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.

Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.

Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote
hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.

Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba.

Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!

Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.

Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,
hili swala linanikondesha jamani naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.

Kama ni kweli nichek private sms nikupe mbinu na Leo Leo hii unaenda kufurahia ndoa yako
 
Hata Biblia inanena kwamba Adam alipewa MSAIDIZI msaidizi ambae alikuwa ni Eva. Kama mwenzio anawaza maisha angalia namna ya kumsaidia ktk shughuri yake hiyo na sio kulalama lalama. Wewe unawazia sherehe mwenzio anawazia msiba, yaani mawazo yenu hayaendani kabisa. pole sana dada, inamaana miaka yote hiyo 8 hujamjua mumeo mpaka leo?
 
Achana naye huyo. Kwani umezaliwa naye...!!! Mwache Aende zake...!!! Katika foleni zote duniani foleni ya unyumba ndo inayouma sana...!!! Utasubiri hadi lini...!!! Kama huwezi kumuacha tafuta kidumu awe anakugonga vilivyo basi...!!!! Ukirudi home yeye anageukia huku na wewe koroma kwa upande huu...!!!
 
angalia series ya IF LOVING YOU IS WRONG utapata majibu ya kwa nn anafanya hivyo
 
May be mchepuka umemdaka penyeye na unamkidhi kweli.mara nying kes kama yako naisikiaga kwa wanaume but jaribu kuchunguza hiyo syo bure mwanaume kufikisha miez 3.
 
Back
Top Bottom