Akili na Bahati kimetangulia kipi?

Carbondioxide

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
733
195
Wadau tu wazima wa siha njema.

Eti kati ya Akili na Bahati kipi cha kwanza?

-Akili ni nini?
-Bahat ni nini?

Akili na Bahati vina umuhimu gani katika maisha ya kila siku?

•Kwa mfano:Mimi nimexoma fomu 1 hadi form 4 na form 4 nimefauli. je, mi nitakuwa na Akili au Bahati?

•Na wengine walofeli watakuwa hawana Akili au hawana Bahati?
namalizia na doti.
 
Dah! Wewe lilia bahati ndugu yangu. Hizo akili waachie wakina Newton wameshagundua kila kitu. Ukiwa na bahati katika Dunia hii ndio kila kitu. Hata ukiwa zero brain bado utatoka tu kimaisha....
 
Wajaluo wanasema hawi lo rieko.. maana yake Bahati huzidi akili.. wengine Wanafanikiwa kwa bahati tu si akili....wengi waliofanikiwa mahaisha wachache sanaa ndo wanaakili wengi ni bahati
 
cha kwanza ni akili halafu bahati inafuata. Just imagine hujasoma hivi unaweza kupata bahati ya kuwa rais au kuwa kwenye fani yoyote inayohitaji elimu? akili kwanza
 
Dah! Wewe lilia bahati ndugu yangu. Hizo akili waachie wakina Newton wameshagundua kila kitu. Ukiwa na bahati katika Dunia hii ndio kila kitu. Hata ukiwa zero brain bado utatoka tu kimaisha....
Ugunduzi bado haujaisha mkuu hivyo akili lazima itangulie na bahati ifuate nyuma
 
Kuwa na bahati ni muhimu sana. Maana Kuna wenye akili nyingi sana lakini hawana bahati na kuna wenye bahati sana lakini hawana akili
 
Bahati ndio nini?
Au ndio huyu demu nilie lala nae, maana na yeye kasema anaitwa bahati
 
So what is bahati?maana huwa nasikia kama huna bahati mbaya basi huna bahati kabisa,Nachoamini:Mtu huzaliwa na akili yake,its inborn....,wenzetu nchi zilizoendelea WALISHAACHA kufikiria masuala ya bahati,wao ni watendaji,na wakifanya juhudi wanafanikiwa,hebu jiulize kwanini China wanafanikiwa kitekinolojia na biashara,au wao wana bahati sana?,kama ulifaulu form 4 wewe ulikua na juhudi na huenda hukugusa hata akili uliyozaliwa nayo,fundi selemala akitengenenza kabati zuuuuri likapendwa kwa sababu ya ubunifu wake na akafanikiwa hapa katumia kitu tunaita MAARIFA,na sio bahati,so wengi wetu tunatumia akili zetu mara chache sana,na wengine hawatumii kabisa,ila wengi tumatumia MAARIFA TULIYOJIFUNZA na UZOEFU(experience),na tunafanikiwa katika hayo kutokana na AKILI au MAARIFA(knowledge)na sio Bahati....i stand to be corrected
 
Wewe umeanzisha kitu kingine,inaaminika kuwa MAARIFA yako katika roho.
 
Back
Top Bottom