Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,319
- 18,525
Wadada ambao hawajaingia kwenye ndoa hii inawahusu
Sina maana hiyoina maana wote ambao hawajaolewa ni wabaya
Sio kila mtu anataka kuolewa.Wadada ambao hawajaingia kwenye ndoa hii inawahusu View attachment 325625
Na unyanyapaa.Udada 'vuzi'
Unaweza usiwe mbaya wa sura ila tabia mbovuina maana wote ambao hawajaolewa ni wabaya
Kwanini usitake kuolewa kama wewe ni msichana? Kama hutaki kuolewa unaweza kukaa bila mwanaume? Kama huwezi, mwanaume utakayekaa naye utamwita nani wako? Inaonekana unapenda uchafuzi wa mazingira tu.Sio kila mtu anataka kuolewa.
Pia, huu ni udadavuzi na unyanyapaa kwa wanawake ambao hawajaolewa.
Kuna watu wanataka kusoma na kujiendeleza kimaisha wenyewe kabla ya kuolewa.Kwanini usitake kuolewa kama wewe ni msichana? Kama hutaki kuolewa unaweza kukaa bila mwanaume? Kama huwezi, mwanaume utakayekaa naye utamwita nani wako? Inaonekana unapenda uchafuzi wa mazingira tu.
Fine, ambaye bado anasoma is not in the group of those who say, I dont want to be married. It only means it is not yet time. My issue with those who say they dont want to be married is that, if you choose not to be married, you should not come close to any man, because that man will be somebody's husband. Finally, whether you are doing research for whatever case, that is not enough reason not to be married unless you have some hidden disabilities you dont want to come to the fore.Kuna watu wanataka kusoma na kujiendeleza kimaisha wenyewe kabla ya kuolewa.
Kuna watu maisha yao wanataka kuvymbua dawa ya saratani, hilo kwao ni muhimu kuliki kuolewa.
Kufikiri kila mtu anataka kuolewa at any given time ni kuishi katika zama za mawe.
Utafikirije kwamba kila mtu anataka kuolewa?
Kuna wanaume wanaruhusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja.Fine, ambaye bado anasoma is not in the group of those who say, I dont want to be married. It only means it is not yet time. My issue with those who say they dont want to be married is that, if you choose not to be married, you should not come close to any man, because that man will be somebody's husband. Finally, whether you are doing research for whatever case, that is not enough reason not to be married unless you have some hidden disabilities you dont want to come to the fore.
Amekusomesha no.nn?Hovyooo!
For both sexes, whoever chooses not to marry or be married should stay away from the opposite sex. Otherwise, just tell us you are irresponsible that is why you like no strings attached kind of relationship or you have some irrepairable weakness that an opposite sex cannot withstand in a lasting relationship like marriage.Kuna wanaume wanaruhusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja.
Kina wengine wana maelewano na wake zao kuwa na masuria.
Kuna wanaume wengine hawataki kuoa, wanaona hao wanawake wasiotaka kuolewa ndio wanafaa.
Utaingiliaje habari za uhuru wa watu wazima wawili kufanya mambo wanavyotaka wao?
Utaanzaje kurahisisha jwamba asiyetaka kuolewa si mzuri?
Huo ni unyanyapaa.