Mimi nadhani ni zaidi ya ugonjwa wa akili. Nimeshangaa kweli kweli na sikutegemea kama sehemu kama Dar haya mambo yanweza kutokea. Kuna mama mmoja maskini anaomba na kusihi kuwa sio ''mchawi''. Nimesikitika sana sana. Inabidi nchi iendeshwa kama zama za mjerumani... viboko kwa sana.Hii nchi ina wagonjwa wengi sana wa akili!
Mimi nadhani ni zaidi ya ugonjwa wa akili. Nimeshangaa kweli kweli na sikutegemea kama sehemu kama Dar haya mambo yanweza kutokea. Kuna mama mmoja maskini anaomba na kusihi kuwa sio ''mchawi''. Nimesikitika sana sana. Inabidi nchi iendeshwa kama zama za mjerumani... viboko kwa sana.
Dunia ina mambo ya ajabu sana nyie acheni kushangaa hayo mambo. They are very real. Kama wewe nI muumin mzuri hutashangaa hayo. Asiye isifu mvua haijamnyea.Hy ni Dar, Sio Tanga?!!! Ss hao mwisho wa siku wanalia njaaa, wanailalamikia serikali, wakati muda wanautumia vibaya wenyewe