Ziwa Tanganyika, ni mlango wa Kuzimu

Ziwa Tanganyika, ni mlango wa Kuzimu

Mi nilitamani kwenda wakat nasoma huu uzi lakn hvyo vigezo vya passpot ndo shida.
Kucha za Bundi, Cjui nin na nin lakn huyo Mbizi acye na doa anapatikana tu hahahah.
 
Nipo hapa uje nikutembeze, toka kwetu mpaka karemi au moba congo ni masaa ma3 tu, ukuje mukubwa
Mimi ni mwenyeji huko so lete kwanza Mchele 5Kg
Kuku Mweusi jogoo,
Mafuta ya alizeti ndoo1
A laki3 kianzio
Teh teh tehlete fasta nikupeleke
 
ni ndege Wa porini, adimu sana kumuona, aña rangi nyeusi na midomo mikubwa myekundu. Mbeya hujulikana kwa jina LA bututu. Akilia nyumbani kwenu mtaandamwa na mikosi maisha yenu yote
Bujibuji bwana aaagh umeanza mambo ya mshana? Huyo ndege anaitwa Grounf hornbill, wa kawaida tu ila zamani kipindi naishi Iganzo huko ndio tulikua tunaambiwa hiyo story

Cc: Idimi
 
Kipanga ni aina ya ndege yupo kama bundi lakini yeye ni mdogo mbeya sehem ya mbarali ni wengi sana na huwa anakamata kuku sio mwewe ila huwa anakuwa na spidi sana kuliko ata mwewe ila hayo mambo ya ziwa tanganyika alio sema mtoa post ni kweli kabisa mimi nimewahi kaa kijiji kimoja kipo rukwa ni kata ya mwimbi ila kijiji kinaitwa mozi kipo mpakani na zambia na pana boda wale watu ni wavuvi haya mambo wanayajua anae bisha atakuwa hajatembelea haya mambo yapo kabisa
asante sana
 
ni ndege Wa porini, adimu sana kumuona, aña rangi nyeusi na midomo mikubwa myekundu. Mbeya hujulikana kwa jina LA bututu. Akilia nyumbani kwenu mtaandamwa na mikosi maisha yenu yote

Ni imani tu hao ndege wapo na huwa wanaonekana miezi ya mwisho wa mwaka,watu washamla huyo kitoweo safi
 
Kitu gani kizuri cha manufaa kimetokana na uchawi na ushirikina ? Ni fikra za kwafanya watu wawe na hofu, wapumbavu na wajinga mpaka kupoteza ubinaadamu na kuwauwa wenanzao (albino) ili wapate viungo vyao.
Someni kwa bidii mashuleni na vyuoni - hiyo elimu ndio muhimu
 
funguo za kuzimu ninazo mimi,anayetaka anione jamani😎😎😎😎😎
 
Mkuu hapo kwenye kucha ya bundi na Manyoya ya shingoni, hapo ndipo Mnapo uwaga maalbino na ushenzi wenu usio na faida.
 
ni ndege Wa porini, adimu sana kumuona, aña rangi nyeusi na midomo mikubwa myekundu. Mbeya hujulikana kwa jina LA bututu. Akilia nyumbani kwenu mtaandamwa na mikosi maisha yenu yote
ukiwa mbeya hasa kwa wanyaki wanaita ibhututu
 
Nawewe umeunga unga tuvijistori ili uonekane una utaalamu wa mambo ya giza,dah!
 
Back
Top Bottom