California yakataa kondomu katika filamu za ngono

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,369
8,072
Maafisa wa usalama kazini katika jimbo la California nchini Marekani wamepiga kura ya kutowalazmisha nyota wa filamu za ngono kuvaa mipira ya kondomu ili kuzuia kuenea kwa magonjwa ya zinaa.

Wawakilisha wa filamu hizo walihoji kwamba mipira ya kondomu huenda isiwavutie wateja wao na hivyobasi kuharibu soko la filamu hizo.

Wameonya kwamba uamuzi wa kuwalazimisha nyota hao kuvaa mipira ya kondomu huenda ukawalazimu nyota wa filamu hizo kuvaa miwani ya kuhifadhi macho pamoja na vifaa vya kuzuia meno.

Wanaoshiriki katika filamu hizo hulazimika kupimwa magonjwa ya zinaa kila baada ya majuma mawili.

Kura hiyo inajiri baada ya Hazina ya afya ya ugonjwa wa ukimwi kutaka idara ya maafisa wa usalama kazini mjini California kuweka sheria kali za kiafya katika viwanda vinavyozalisha filamu za ngono.

Lakini wawakilishi wa filamu hizo wamesema kuwa iwapo nyota wa filaumu hizo watalazimishwa kuvaa mipira ya kondomu huenda ikaathiri soko la filamu hizo.
 
Hahaha

Wenzetu wameshazichoka,nafikiri hata huku bei yake itapungua sasa

Kilo moja ya c*dom itakuwa sh 50.
 
Innalillah wainna ilayh rajiuun!! Baadhi ya Binadamu hawaamini kama Mungu yupo japo kinadharia ni waumini wa dini mbalimbali
 
Bora kiyama ije tu sasa maana yafanyikayo leo ata shetani anashika kichwa.
 
Ulaya ushetani ni mkubwa kulikoni Africa. Ila wenzetu watumia sayansi kulazimisha uovu
 
Back
Top Bottom