Robot ya ajabu !

Robot ya ajabu !

Nimeziangalia Video zote mbili, nilijua tofauti.

Kumbe zote sawa.

Video ya pili kutoka juu ni ile ile kama ya kwanza juu
 
Nayo ni 'sayansi' ya aina yake..lakini cha ajabu haionekani mchana ..ni usiku tu wakati watu tumelala.Hata kama hujalala kama sio mchawi huoni kitu.Muda umefika tuachane na fisi wa usiku.Tufanye tafiti zinazoeleweka..kama hivi

Nimependa walivyoAct robot inapita hata haiwaiangalii wanaendelea na shughuli zao as if kitu cha kawaida. By the time ni kitu cha kawaida sijui vizazi vyetu vingapi vimeozea chini.
 
Baada ya miaka kama mia hivi, wataangalia hizi robot na kucheka kama tunavyocheka computer za zamani zilizokuwa zinajaza lichumba lizima na kuendeshwa na watu wengi
 
Nimependa walivyoAct robot inapita hata haiwaiangalii wanaendelea na shughuli zao as if kitu cha kawaida. By the time ni kitu cha kawaida sijui vizazi vyetu vingapi vimeozea chini.
Mbona tushaanza kutumia robot bila kujijua. Mfano ni drone camera wanazofanyia shooting.Hizi ni robot, kwasababu ukiirusha juu inabaki hewani na kukufuata uendako.

Baada ya miaka kama mia hivi, wataangalia hizi robot na kucheka kama tunavyocheka computer za zamani zilizokuwa zinajaza lichumba lizima na kuendeshwa na watu wengi
Of course..technology inazidi kukua. Simu za mkononi-mobile phone- zina uwezo mara elfu moja ya hizo computer za zamani zilizokuwa zina ukubwa wa kama nyumba.
 
Back
Top Bottom