Recent content by Kwaito

  1. K

    Kwamwe Uislam usihusishwe na wasiosoma/waliokosa Elimu nifuatilie

    Wewe usituchekeshe, waisalam mna shida laa tukubaliane,tena nashangaa kuona mtu anasema tusihusishe uislam na uchomaji moto makanisa, wao wenyewe wamesema sasa unatwambia nn? mimi sasahv siwapendi kupita maelezo,nlikuwa nawaona ni ndugu lkn baada ya kuchoma kanisa langu ambalo tulijinyima na...
  2. K

    Nchemba tena - bungeni; adai kutishiwa kuuwawa na wabunge wa CHADEMA

    Wewe unayejiita Mch. hata sikuelewi,wewe kama ni mkwel kwa unayozungumza unaushahidi na hayo malipo ya mtaa wa ufipa? muogope Mungu,kuwa mpambe lakn ujue Mungu anahesabu kila mawazo,maneno na matendo yako!upambe wako usikufanye kuwa muongo ili unogeshe stori na kutetea vitu usivovijua.
  3. K

    Ya Rutabanzibwa ni Hayo sasa

    mimi hata sijui nan afadhali ila naona serikal na specifically wzr ya ardhi imeshindwa kaz!yan kuna maeneo sahz yamekuwa mapori ya kujifcha vibaka kisa serikal imesema mrad wa Lugurun umesitishwa na watu wasiendeleze kitu chochote
  4. K

    Nchemba amshika pabaya Mnyika (leo bungeni)

    Siko hapa kushindana maneno na wewe maana naona mnafanana kwa kiasi kikubwa! Hapo nmetoa clarification watu wajue mchumi daraja la kwanza manake nini!hzo A unazijua wewe aliekuonyesha vyeti ingawa nazo sio hoja kuna wengi wana A lakini ni vilaza vile vile!
  5. K

    Nchemba amshika pabaya Mnyika (leo bungeni)

    you are very right mess,ndomana nasema politicians wanacheza na watu wenye uelewa mdogo!mtu ukiwa bright tunaona tu mawazo yako na contribution yako!
  6. K

    Nchemba amshika pabaya Mnyika (leo bungeni)

    Kuna watu wanafurahisha sana wanavopenda kutumia uelewa mdogo wa watu kujitwisha misifa. Nlimsikia bungeni mbunge mmoja anajisifia eti yeye ni mchumi daraja la kwanza. Kwa watu wengi wasioelewa taratibu za kupandishwa vyeo serikalin wanaweza kudhan kuwa yeye ni kichwa ile mbaya au alifaulu mno...
  7. K

    Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

    I have seriously committed myself to pray for you Dr.Ulimboka! May our Lord grant u quick recovery!
  8. K

    Mch msigwa sasa hivi ndani ya tbc.

    ha ha ha nimefurahishwa na huo mfano wa mtoto wa miaka 12 anashika nafac ya 2 chekechea!it is a valid example for our nation, 50 yrs of independence lakini maendeleo mhhh
  9. K

    Waislamu wote kushiriki Sensa - Mufti

    Inamaana hukumwona jana au una kipaji cha kubisha tu?
  10. K

    Sheikh Ponda yuko sahihi

    Jaman waislam hawatakaa waishi kwa amani mpk mwisho wa dunia, nadhan walitakiwa kuwa na dunia yao ingawa sidhan sana kama ingesaidia maana tunaona huko afghanistan shia na suni!wakristo wanautaratibu wao wa kujua idadi ya waumini wao nenda makao makuu kkkt utaambiwa au R.c sasa wao kwann...
  11. K

    Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    Acha kuwa mbishi bila sababu!hivi vitu viko waz hata magazeti yanaandika kila siku! hayo mambo ya eti katumi Reeach Design gan hayana nafac ni mbwembwe zako ila ukweli ndo huo! UDSM wanakozi nyingi mchanganyiko compared na SUA ambapo more than 85% ni pure SCIENCE.
  12. K

    Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    Nnachoweza kusema ni kuwa waislam ni wabaguzi kuliko kitu chochote kwahyo kuolewa na muislam ujishike haswa hata ukibadili dini bado wanakuona una element ya ukristo na kama utabaki na dini yako ndo utaitwa kafiri tena! Tatizo ni watu wanaopenda kujihesabia haki mno utaadhan waliambiwa ukitaka...
  13. K

    Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    mie ni alumni wa SUA pale wadada utulivu ni A, Maana ukifanya masikhara utajikuta una supplimentary 5 hence disco
  14. K

    Kumbe Hawa Ma-DJs ni ndugu.

    mie pia sikujua kama ni ndugu. Infact i was happy to know that they are brothers alafu wana interest zinafanana!They are all good! Keep it up guys!
Back
Top Bottom