Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

Mungu akusaidie urudi nchini kishujaa,,tuje kukupokea kwa maandamano makubwa Airport, tukikuandaa kuja kwa waziri wa Afya, 2015...!
 
Nashkuru kwa taarifa............kuna kundi la wapuuzi hawataki kusikia taarifa kama hizi
"serikali haishindwi kitu bwana, hata iwe ni kinyume na matakwa ya walioiweka madarakani pamoja na kukiuka viapo"

E Mwenyezi Mungu, mponye huyu mja wako aliyeinuka na kuhatarisha maisha yake kwa masilahi na faida za walio wengi.
 
Na kwa kila dakika ipitayo twakuombea hali yako izidi imalike mara dufu
 
damu waliyomwaga na walizowahi kumwaga haki ya Mungu hazitawaacha.ikulu gani imejaa mapepo?too much:
 
Wabongo bana, so ndugu zetu wanaondelea kufa kutokana na mgomo wa akina Ulimboka hawana haki ya kuishi ama, mimi simuonei huruma huyu jamaa honestly, mgomo wao unawaumiza ndugu zetu sana, na simuombei kupona.

mkuu atawakiacha kugoma watakufa tu kwani hakuna dawa wala vitendea kazi
 
Mungu ni wa ajabu kwa sababu atahakikisha kwamba serikali haiwezi kutoa roho ila yeye ndiye mtoa roho na Ulimboka ataanika unafiki wa serikali.
 
Mungu wewe ni mponyaji na utatenda hilo kwa ndugu yetu Uli. Wakati huo huo unapotoa uponyaji na ulinzi kwa Uli, waliosababisha haya uwafichue waanze kuropoka wenyewe mitaani kuwa ndio wahusika katika jina la YESU.
 
Kitendo alichofaniywa ulimboka na Mungu kumponya ni kielelezo tosha kwamba Mungu amechoshwa na madhambi ya serikali yetu sasa ameamua yeye mwenyewe kujionyesha. Wana jamvini ukweli ni kwamba kwa mateso aliyoyapata Dr. Uli katika hali ya kawaida ilikuwa si rahisi kupona! lakini tujiulinze ni kwanini amepona?? Hapa sasa ndipo ukuu wa Mungu umeonekana na mambo mengi yatafichuka! Sasa tuwe tayari kupokea ukombozi wa kweli!

Dr. Uli Neema ya Mungu Ikawe pamoja nawe na uponyaji wake wa kweli ukafanyike juu yako na majeraha yako yakawe ni ukombozi wa watanzania!
Amina!
 
I have seriously committed myself to pray for you Dr.Ulimboka! May our Lord grant u quick recovery!
 
Mungu atukuzwe kwa matendo yake makuu na ya ajabu .siku si nyingi utalikomboa taifa letu kutoka watawala walio toka kuzimu amina
 
Serikali inahusika n aunyama huu,Hata darasa la pili anatmbua hilo,mmebakiza miaka mitatu ya kutuua,mkishindwa mjiandae kulipa roho mnazozitesa,na kurudisha mali ya umma
 
Mimi kama mfuasi wa Dr.Ulimboka na Madaktari wote juu ya madai yao ya uboreshaji wa huduma za afya tanzania. Sasa naomba mnaofahamu mtujulishe hali ya maendeleo kiafya wa shujaa huyo. Nawasilisha kwenu wanaJF.
 
umetumwa or ur real patriot and u mean what ur talking coz now a day pana many perpet in JF whom secure hiden info.....obvious He z doing owkey in God's protection as they failed to kill him the truth must be known through him...
 
Back
Top Bottom