Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

*hivi mnavyotaka chuo kiwe maarufu mnataka umaarufu katika nini hasa?coz kama kisingekua maarufu kusingekuwa na wanafunzi basi ikiwa na maana hakijulikani

*mnadai masomo magumu!nacheka sana,sisi tumewezaje kusoma na tukatoka na gpa nzuri tu,hakuna chuo chenye masomo rahisi hata kimoja kila ukienda lazima utakuta wanafunzi wanalalamika ugumu wa masomo n thats a fact,ugumu wa masomo unakuja kama umeenda kuuza sura chuo

*nashukuru kama umetambua kuwa kuna vyuo vichanga

*nani kakuambia kuwa course za SUA haziuziki?get serious, tembea uone, mashirika mengi yana graduate wa SUA pia Halmashauri na Manispaa suala la m2 kumkuta benki c tatizo labda ni uamuzi wake 2 degree yake haina influence yoyote hapo

*inawezekana haifahamiki sana ila ina umaarufu wake sababu ya uniqueness ya kozi zake mf Bsc Horticulture, Agronomy, BLS, Veterinary Medicine nk ajira zipo njenje kwao ila tatizo letu wengi hukimbia fani zao wakihitimu, kuna mradi wa APOPO au genetic rats wa ulipuaji mabomu wenye kuajiri graduates wa BLS pindi wanapohitimu nk

*msikae kuponda 2 ila na ukweli muuweke wazi,over n out
 
Salaam wana JF. Mara nyingi ninaposikia kashfa mbalimbali za mapenzi huwa zinavihusu vyuo vikuu kama UDSM, Mzumbe, IFM .............Hiki chuo kikongwe SUA wasichana wake mambo yao yakoje? Kama kuna mtu ana details anifahamishe tafadhali.
 
Vyuo vyote vya science wasichana wametulia, mbali na Sua pia fuatilia Muhimbili wasichana wake wametulia sana. Huku ni shule tu kwa kwenda mbele. Achana na hivi vyuo vingine shule rahisi mpaka wanapata nafasi ya kujirusha
 
mie ni alumni wa SUA pale wadada utulivu ni A, Maana ukifanya masikhara utajikuta una supplimentary 5 hence disco
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa anatomy na physiology kina ku shep 1st year
 
Nenda kamwulize aliyekuwa Rais wa Wanafunzi mwaka 2005-2006,alipigwa DISCO kwa kujifanya kidume kuzunguka mjini kila wakati mwisho wa siku ilikula kwake

na hata alipoomba chuo kingine bado alifuatiliwa hadi huko

kiukweli SUA huwezi fananisha na vyuo vingene TZ kwanza pass mark yao ni 50% yaani ukiwa na 49.999% imekula kwako

muda wote ni kitabu na mitihani

kuna vijana wanasoma chemistry(under mkoma) kwa sasa,ilo somo huwezi kuwa na muda hata wa kwenda likizo ni lazima ukaze msuri,huwezi tafuta kimada kwa wakati huo
 
Msiwatetee wasichana wa SUA ati shule ni ngumu ndo maana wametulia. yaani jina la cho na kusoma Science ndio kunamfanya mtu kutulia mbona na UDSM kuna kozi za science tena Bs. Engineering, Bsc. Geology, Bsc. Aquatic au sio kozi za Science?umalaya ni tabia ya mtu binafsi regardless anasoma kozi gani. by the way nai alifnya research akagundua malaya wengi ni wa IFM, Mzumbe na UDSM? alitumia Research Design gani Kung'amua hayo yote? je wale malaya wa pale kona Baa, Suncirro na pale TIP TOP hawawez kujidai ni wanafunzi wa Ustawi, UDSM, IFM ili kujipandisha chati? Tuache ushabiki kwenye hoja leta hoja si porojo za mtaani
 
Acha kuwa mbishi bila sababu!hivi vitu viko waz hata magazeti yanaandika kila siku! hayo mambo ya eti katumi Reeach Design gan hayana nafac ni mbwembwe zako ila ukweli ndo huo! UDSM wanakozi nyingi mchanganyiko compared na SUA ambapo more than 85% ni pure SCIENCE.
 
Mtu muda wote yupo kuchunguza kinyesi cha ng'ombe, mjusi, nzi, sisimizi hana muda wa kwenda Kaumba
 
Wanafanya sana umalaya...sema sio kama vyuo vingine... Kaumba, guest h za msamvu zinawahusu sana...sema kama we hujiusishi hata kama unasoma sua huwezi jua kama watu wanabanduana sana.....umalaya hulka ya mtu tu hata kama anakimbizwa na chui libido likimpanda lazima aliondoe kwanza..
 
Salaam wana JF. Mara nyingi ninaposikia kashfa mbalimbali za mapenzi huwa zinavihusu vyuo vikuu kama UDSM, Mzumbe, IFM .............Hiki chuo kikongwe SUA wasichana wake mambo yao yakoje? Kama kuna mtu ana details anifahamishe tafadhali.

mbona wanawake wa SUA wanapatikana pale four stars club, sema huwa wanaulamba sana, sasa mtu akiwaona anadhani wa mzumbe maana SUA hawana sifa ya kupendeza labda sasa hivi kwa sababu TCU wameingilia. Wanajirusha sana tu
 
Back
Top Bottom