Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Du! Naona mbinu ya kuwaambia kuwa pilau litakuwepo imefanikiwa. Muhimu sasa ni serikali kununua viungo vya pilau kwaajili ya harufu tu inatosha hamna haja ya mchele
Du! Naona mbinu ya kuwaambia kuwa pilau litakuwepo imefanikiwa. Muhimu sasa ni serikali kununua viungo vya pilau kwaajili ya harufu tu inatosha hamna haja ya mchele
They are not popular among Muslims!
Ritz, tume ya katiba, kombo, njiwa leta mironjo hapa mje mseme mufti anatumiwa...
BAKWATA haijatoa kauli hiyo na huu ni UZUSHI! Mufti Simba hajazungumza tena baada ya kuitaka serikali kuweka kipengele cha dini kwenye sensa. Naomba Mod aitoe hii post ya kizushi. JF si mtandao wa wazushi kama mtoa mada hapo. BAKWATA chini ya Muft wametoa waraka ukisainiwa na muft juu ya kugomea sensa.
Habari hii kuwa BAKWATA wamegeuka ni ya kizushi na haina ukweli wowote na haina msingi zaidi ya kutaka kuwagawa waislam Tanzania.
Kuna kakikundi kanajiita IPF ni ka wanafiki ambako si mara ya kwanza kutumika tunawajua tunawatambua!
hivi huku jamii forum mbona kuna watu wanafiki sana huyu mufti si mulisema anapenda ubwabwa leo munamuoa kasoma sanaaaaa MSIMAMO NI ULE ULE YEYE AMETAMKA KWA MAWAZO YAKE NA AMETUMIA HAKI YAKE YA KIKATIBA KILA MTU ANA HAKI YA KUTOA MAWAZO YAKEAcha kukurupuka wewe. Kauli zilizotolewa mwanzo na vyombo vya habari zilipotoasha ukweli. Haikuwa kauli ya BAKWATA kupinga sensa bali ni taasisi za kiislamu inayojumuisha akina KUNDECHA na PONDA.
Hilo ndilo tamko la BAKWATA na limetolewa na muft ambaye ndiye mwenye mamlaka hayo na si mwingine yeyote kama walivyofanya akina Kundecha.
BAKWATA haijatoa kauli hiyo na huu ni UZUSHI! Mufti Simba hajazungumza tena baada ya kuitaka serikali kuweka kipengele cha dini kwenye sensa. Naomba Mod aitoe hii post ya kizushi. JF si mtandao wa wazushi kama mtoa mada hapo. BAKWATA chini ya Muft wametoa waraka ukisainiwa na muft juu ya kugomea sensa.
Habari hii kuwa BAKWATA wamegeuka ni ya kizushi na haina ukweli wowote na haina msingi zaidi ya kutaka kuwagawa waislam Tanzania.
Kuna kakikundi kanajiita IPF ni ka wanafiki ambako si mara ya kwanza kutumika tunawajua tunawatambua!
Kinachofurahisha waislam kwamba harakati za waislam hazifanywi na BAKWATA. BAKWATA ianjihusiha zaidi na skuu na ramadhani. Tunangojea kauli ya taasisi za kiislam zinazoaminika kwa harakatiSHEIKH Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban Simba ametoa msimamo wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), akiwataka Waislamu wote nchini kushiriki Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 26, mwaka huu.
Mufti Simba ameonya kile baadhi ya waislam kufanya uchochezi kwa wananchi ili wasishiriki zoezi la sensa na kusema BAKWATA haihusiki.
Akisisitiza umuhimu wa Waislam kujitokeza kuhesabiwa, Mufti Simba alisema, Mimi kama kiongozi wa Waislamu natoa wito kwa Waislamu wote hapa nchini, kushiriki kwa ukamilifu katika zoezi la Sensa litakalofanyika nchini mwetu.
Aliongeza: "Katika nchi yetu Sensa zimefanyika nyingi miaka ya nyuma na hazikuhusishwa na dini wala ukabila, ni jambo lililo zoeleka na kukubalika na wote''
Ameonya wale wote wanaochochea waislam kukwamisha juhudi za serikali kwa minajili ya udini.
Source: Mwananchi | Jambo leo | Habari Leo
BAKWATA haijatoa kauli hiyo na huu ni UZUSHI! Mufti Simba hajazungumza tena baada ya kuitaka serikali kuweka kipengele cha dini kwenye sensa. Naomba Mod aitoe hii post ya kizushi. JF si mtandao wa wazushi kama mtoa mada hapo. BAKWATA chini ya Muft wametoa waraka ukisainiwa na muft juu ya kugomea sensa.
Habari hii kuwa BAKWATA wamegeuka ni ya kizushi na haina ukweli wowote na haina msingi zaidi ya kutaka kuwagawa waislam Tanzania.
Kuna kakikundi kanajiita IPF ni ka wanafiki ambako si mara ya kwanza kutumika tunawajua tunawatambua!
hotuba kama hii nimesikia jana Bungeni imetolewa na Mwenyekiti wa CHADEMAHakika mufti ni shujaa wa karne hii.Anawalipua magaidi wote wanaotaka kuvuruga amani ya nchi.Twende kazi Mufti wananchi tuko nyuma yako.
Harakati za waislam zinafanywa na tampro. Uamsho, jumuiza za kiisla. Shura ya maiamam na maulamaa. Zikitoa kauli hizo kuhusu kwenda kwenye sensa kweli hapo serekali itafanikiwa.