Nchemba amshika pabaya Mnyika (leo bungeni)

Acha wivu wa kike ww, na kwenye amepasua vile vile ana AAAAA tupu, km mtu ni kilaza hawezi pata hizo, jamaa ni mashine na jembe atawasumbua sana sana huyu jamaa

Siko hapa kushindana maneno na wewe maana naona mnafanana kwa kiasi kikubwa! Hapo nmetoa clarification watu wajue mchumi daraja la kwanza manake nini!hzo A unazijua wewe aliekuonyesha vyeti ingawa nazo sio hoja kuna wengi wana A lakini ni vilaza vile vile!
 
Magamba kwa upofu mnatisha. kwani wezi wote wa EPA walifanya kazi BOT? Eti mwaka 2006 Nchemba aka ......... hakuwa mfanyakazi wa BOT?? Hoja dhaifu hii kama ilivyo dhaifu CCM na mkulu.

Mnyika ana akili timamu; naamini atathibitisha ukweli. Wasiwasi wangu spika ataweka kapuni ushahidi huo kama alivyofanya kwa ushahidi wa lema dhidi ya waziri mkuu pindi aliposema uwongo bungeni
Mkuu thereitis, mwenyekiti aliyeongoza kikao kikao kile cha bunge (Jenista Mhagama) alilipuka kwa ushabiki akatoa tamko la kipuuzi ambalo baadaye alipotulia na kulichambua aligundua amechemsha.

Mtu yeyote anaweza kutuhumiwa kwa swala lolote na wakati wowote, sasa huwezi kumwambia mtu athibitishe utuhumiwa! Mtu anaweza kuthibitisha ukosaji na sio utuhumiwa.

Watu wengi wapo mahabusu au nje kwa dhamana kama watuhumiwa, mahakama itaendelea kuwachukulia kama watuhumiwa mpaka hapo itakapo dhihirika pasipo shaka kuwa ni wakosaji au siyo, ndipo utuhumiwa unapo kwisha. Mheshimiwa Mnyika kwa busara kabisa alisema Mwigulu ni mtuhumiwa, wala hakusema Mwigulu aliiba.

Sasa hapo kesi iko wapi? Ndio maana leo mwenyekiti alipokumbushwa upuuzi huo aliamua kuutolea nje kijanja. Mashabiki wa CCM na Mwigulu wao wanakuja na makelele yao bila hata kufikiri.
 
Acha wivu wa kike ww, na kwenye amepasua vile vile ana AAAAA tupu, km mtu ni kilaza hawezi pata hizo, jamaa ni mashine na jembe atawasumbua sana sana huyu jamaa

Wenye A kama yeye wako wengi wengine hawajui hata kusoma lakini wana A unalitambua hilo?
 
Hivi Nape huwa anawaokota wapi mazezeta kama ninyi?Soma hapo kwenye rangi nyekundu halafu kama zinakutosha jaribu kulinganisha na kichwa cha thread yako utumbo!

Mkuu wala usipate taabu. Kwanza huyu jamaa hata hakusikiliza bunge. Alichokisema mwenyekiti ni kumwambia azungumzie bajeti. Swala la kushugulikiwa na ofisi ya bunge hakulisema. Ndo hawa wanashusha hadhi ya jf.
 
Mnyika amekuwa ni kiongozi mzuri mstaarabu aliyekuwa akiheshimika kwa pande zote iwe CDM ama CCM. Nakumbuka mama Anna Abdallah kuna siku alimsifia sana Mnyika kwa hoja anazozitoa Bungeni akasema kuna vijana kama Mnyika ambao wanakuja vizuri sana Bungeni. Pia juzi nakumbuka Spika alisema kuna watu walikuwa wanakuja vizuri lakini sijui wamepatwa na nini. Kwa kweli Mnyika amekuwa ni nguzo bungeni kwa hoja zake zenye mashiko lakini kuanzia Bunge hili naona kama anapoteza mwelekeo. Ameingia kwenye mkumbo ambao si sahihi; mkumbo wa kutafuta umaarufu kwa kukashfu watu. Mbona alikuwa maarufu tu hata kwa wanywa kahawa wenzangu lakini tangia aanze mambo ya kashfa watu wanaanza kumsema ambavyo sivyo.

Sababu kuwa J.J. Mnyika amepata kuwa gumzo kwa hoja zake na sasa wapo watu wanajifanya wanasikitika haina mashiko.Ukifika mahali wabunge karibu wote wa CCM, hasa wale wa viti maalumu wanaanza kukusifu ujue kuna tatizo!!!
Umeshawahi kusikia Tundu Lissu anasifiwa na wabunge ama Mawaziri?
Naufurahia sana mwelekeo wa sasa wa kamanda Mnyika.
Kwa nini ufurahie sifa za "umakini" na ''utulivu'' wakati kuna genge la watu linakunyemelea kukutoa roho?
Ishara kuwa wabunge wa CDM na CDM kwa ujumla inafanya kazi za wananchi ni kuona wabunge wake wengi zaidi wakichukiwa na wale tabaka tawala.
Bila kuwa na "class conflicts" inayoleta ''class struggles'' kati ya tabaka tawala na tabaka tawaliwa hakuna harakati za siasa.
Hata hapa JF, tofauti za michango ya watu wa tabaka tawala na ile ya tabaka tawaliwa ipo wazi!!
Mimi natoka tabaka tawaliwa!!!
 
Pesa za EPA zilitumika kuiingiza ccm madarakani, kwahiyo ccm from the top to lower level wanahusika %
 
Chadema si chama makini kama wengi wetu tulivokuwa tukidhani hapo awali......

Mnahangaika!
Poleni sana, watanzania wameamua"liwalo na liwe" 2015 lazima ccm iondoke!
Kwa nyie malaika mliogeuka mashetani itabidi mkimbie nchi.
 
Bunge ni mahali pa kuheshimika sio patakatifu, takatifu ni neno kubwa sana, sio la kuchezea chezea!
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)
 
Hivi hichi Chama Cha Mauaji kinatumia utaratibu gani kupata wanachama?Mbona naona kama wote ni Vichaa..
 
Wenye A kama yeye wako wengi wengine hawajui hata kusoma lakini wana A unalitambua hilo?

Mkuu usipoteze your calories to argue with this person. With time anazidi kujiaibisha. Ye anadhani kila mwenye A ni bora. Hata hajui kuna form one kibao hawajui kusoma na kuandika?, wangapi tumewaona vyuoni wanapata first class za pesa? Mi siku hizi nawadharau tu maana hata wanaloongelea hawalijui.
 
Pesa za EPA zilitumika kuiingiza ccm madarakani, kwahiyo ccm from the top to lower level wanahusika %
 
Unatumia nin kufikiri? Makamasi au?? Mnyika unaisi anabaishwa na ushaidi mdogo uo?? Sa subili na ushaidi zaidi aulete tuone kama refa wenu atauweka wazi!! Acha kuwa kibaraka wa Ccm,tumewachoka!
 
Bunge ni mahali pa kuheshimika sio patakatifu, takatifu ni neno kubwa sana, sio la kuchezea chezea!

nyerere alisema ikulu ni mahali patakatifu. umeshawahi kumkosoa? au kwa sababu ni baba wa taifa? ktk kiswahili neno takatifu linatokana na neno takata. kutakata ni kuwa safi na kumeremeta. kilugha neno patakatifu nimelitumia vizuri. labda kama umelichukuliya kidini hayo ni ya kwako. mi sihubiri dini hapa.
 
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)

We Gamba, kiuhalisia Mnyika amemshika pabaya Nchemba;-
1. KAGODA walichota fedha za EPA kwa niaba ya CCM
2. KAGODA = CCM
3.CCM walimua Mama Mbatia mweka hazina aliekataa fedha za KAGODA
4. CCM = WAUAJI
5.ROSTAM = MWEKA HAZINA WA CCM
6.ROSTAM = FISADI
7.NCHEMBA = MWEKA HAZINA WA FEDHA ZA KAGODA = CCM
8.NCHEMBA = MUUAJI wa raia wasiokuwa na hatia Igunga na Arumeru
9.NCHEMBA = FISADI mwenye kutokwa povu kwa mifweza za EPA

.... MNYIKA KAMSHIKA PABAYA nchemba ... soon atakuwa mdogo kama piriton!
 
nyerere alisema ikulu ni mahali patakatifu. umeshawahi kumkosoa? au kwa sababu ni baba wa taifa? ktk kiswahili neno takatifu linatokana na neno takata. kutakata ni kuwa safi na kumeremeta. kilugha neno patakatifu nimelitumia vizuri. labda kama umelichukuliya kidini hayo ni ya kwako. mi sihubiri dini hapa.

Mkuu kwa tafsiri uloeleza hapo juu. Bunge linastahili kuitwa takatifu? Tuanzie hapo then tutajadili ya ikulu.
 
Ninakuhakikishia mchemba hutoki..hata sasa hivi hapo ulipo unaogelea kwenye epa,hapo ulipofika ni epa imekufikisha hapo...hutaamini kitakachotokea,lazima upanue mdomo ndo utajua kuna watu smart na siyo mandondocha kama wewe....nasema hutaamini ,na hutaelewa,siku yaja na ipo karibu utpokea hukumu usiyotarajia...mungu anaishi.......si mchezo umezoea kuhonga hizo hela unazichimba wapi?
 
Back
Top Bottom