Nchemba amshika pabaya Mnyika (leo bungeni)

Nimeamini ID ulionayo inaendana na maana halisi ya neno Wakuziba.

Nchemba amshika pabaya Mnyika bungeni, unatoa tafsiri ya kuziba mawazo wa wachangiaji.
Mnyika angetoa vielelezo vyake kisha Nchemba kuvichallange ungekua na maana halisi kwenye topic yako.

Sikulaumu sana kwani mida hiyo yawezekana njaa ilidhoofisha ubongo kufikiri
 
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)

Well said ndugu.
 
mashiko yangu makubwa yapo KWENYE HALI YA NCHEMBA MWENYEWE KUMKUMBUSHA SPIKA! angekua kahusika sasa hivi angekua anaomba hili jambo lifie mbali. anapojitokeza leo na kumkumbusha mwenyekiti kuwa siku 7 alizopewa mnyika zimekwisha, inaelekea kuwa he is 100 sure that he didnt take part in the EPA issue. kama wewe huona hili basi nenda shule. mwizi anajishtaki mwenyewe! thats why ive concluded by saying MNYIKA KASHIKWA PABAYA...
 
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)

Akili zako kama za mchamba.
 
Mnyika goma kutoa ushahidi mpaka pale spika atoa ushaidi wa Lema na Zitto. Au akurushusu usome ushaidi wako bungeni wewe mwenyewe bila kumpa Spika Maana atauchimbia pia.
 
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)

Magamba kwa upofu mnatisha. kwani wezi wote wa EPA walifanya kazi BOT? Eti mwaka 2006 Nchemba aka ......... hakuwa mfanyakazi wa BOT?? Hoja dhaifu hii kama ilivyo dhaifu CCM na mkulu.

Mnyika ana akili timamu; naamini atathibitisha ukweli. Wasiwasi wangu spika ataweka kapuni ushahidi huo kama alivyofanya kwa ushahidi wa lema dhidi ya waziri mkuu pindi aliposema uwongo bungeni
 
Mnyika amekuwa ni kiongozi mzuri mstaarabu aliyekuwa akiheshimika kwa pande zote iwe CDM ama CCM. Nakumbuka mama Anna Abdallah kuna siku alimsifia sana Mnyika kwa hoja anazozitoa Bungeni akasema kuna vijana kama Mnyika ambao wanakuja vizuri sana Bungeni. Pia juzi nakumbuka Spika alisema kuna watu walikuwa wanakuja vizuri lakini sijui wamepatwa na nini. Kwa kweli Mnyika amekuwa ni nguzo bungeni kwa hoja zake zenye mashiko lakini kuanzia Bunge hili naona kama anapoteza mwelekeo. Ameingia kwenye mkumbo ambao si sahihi; mkumbo wa kutafuta umaarufu kwa kukashfu watu. Mbona alikuwa maarufu tu hata kwa wanywa kahawa wenzangu lakini tangia aanze mambo ya kashfa watu wanaanza kumsema ambavyo sivyo.
 
JItu Patel pamoja na Manji walikuwa wanafanya kazi BOT mpaka wakahusishwa au walikuwa na vyeo gani?

Mwambie bana... watu wanaofikiri kivivu hao... kati ya waliohusishwa na ile kashfa waliokuwa wafanyakazi wa BOT ni wangapi>> huyu jamaa kakalia point moja tu!! Halafu huyu sijui nchimbi ama nchema anaonekana ni jizi sugu ndo maana kang'ang'ana. anaamini hata ushahidi ukiletwa majizi wenzio waliojazana ccm watamtetea ama watazika issue na hakuna kitakachoendelea.. ingekuwa China angeufyata maana angejua anaelekea kunyongwa!!!!!!!!!!!!
 
Hajamshika pabaya lolote Mh;Mnyika ni mtu makini sana, kesha wasilisha taarifa zote kwa Spika...stay tuned itazimwa huko huko....!! Nchemba hana jipya.
 
hata kama hajala bado ka harufu ka EPA alikakuta akamalizia, huyu jamaa anajisifu sana na usomi, huyu ndie aliyesababisha uchumi kudolola, thamani ya pesa kushuka, boratu liondolewe bungeni halina maana kabisa. Siku anaongea ningekuwa karibu ninge mtia konzi zito.
 
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)

Wewe mnyika anadocument zote zinazoprove hlo lakini nchemba anaona zote zipo sahihi.
 
mbona mbunge wa ilemela mwanza aliulizwa unaushahidi ....wakamlazimisha akasema live aliehusika na kumkata mapanga alikuwa maria hewa mbunge wa ccm viti muulum....mpaka leo aibu yao hawajatoa hukumu

au unataka tukumbushe rais alisema ana majina ya wauza unga lol mpaka leo mtoto wangu ameanza shule jk hajafunguwa mdomo kuhusu cocaine
 
Kuna watu wanafurahisha sana wanavopenda kutumia uelewa mdogo wa watu kujitwisha misifa. Nlimsikia bungeni mbunge mmoja anajisifia eti yeye ni mchumi daraja la kwanza. Kwa watu wengi wasioelewa taratibu za kupandishwa vyeo serikalin wanaweza kudhan kuwa yeye ni kichwa ile mbaya au alifaulu mno masomo ya uchumi, kumbe hilo daraja unapewa baada ya kuwa umefanya kazi kwa muda kadhaa.Mchumi anaemaliza chuo kwa degree ana ajiriwa kama Mchumi daraja la 2, akikaa kama miaka 6 anapanda kwenda daraja la 1, kwahiyo ndugu zangu tuwe makini sana na hawa wanasiasa ambao wanapenda sifa ambazo hata hawastahili
 
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

USHAURI WANGU KWA CHADEMA

Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!

Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)

watu wenye akili kama zako dawa yenu ni mabwepande 2 and not otherwise.
 
Back
Top Bottom