Eti Rc wa Mwanza ana uhusiano wa kidugu na Vicky Kamata? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti Rc wa Mwanza ana uhusiano wa kidugu na Vicky Kamata?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by mabhuimerafulu, Jun 7, 2012.

 1. m

  mabhuimerafulu Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wana JF hebu nifahamisheni maana yanaweza kuwa majungu, ati RC wa Mwanza ana uhusiano wa kidugu na Vicky Kamata. Kama ni kweli JK kiboko.....
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  kwani vipi unataka na wewe kuomba udugu au..
   
 3. K

  Kwaito Senior Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes mjombake kabsa
   
 4. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,949
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  lazima mzee wa kaya atoe shukrani sijui kwa shemeji au mkwe...
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Duh!aisee na me ntaomba undugu wa hisani kwa jk.
   
 6. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,689
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  If so, tatizo ni nini? Mbona watu au viongozi wengi wanandugu hawajazaliwa ukiwa.
   
 7. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Hahaha huyu binti bwana uku ikulu ya capripoint yupo MJOMBA ake na lile jumba jeupe magogoni yupo SWEETIE.
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Mie nilisikia ni Uncle wake ....
   
 9. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 3,472
  Likes Received: 923
  Trophy Points: 280
  Hilo jina lako ni kiboko "Mawe meusi"!.
   
 10. E

  ESAM JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Ni kweli wana undugu ila sijui kwa hakika ni undugu gani, lakini nakumbuka RC wa Mwanza ana mdogo wake father wa Katoliki, huyu father alipokuwa TEC, Kurasini Vicky alikuwa akija sana kumtembelea. Kwa hiyo undugu upo tena wa karibu maana wote wanatoka Geita.
   
Loading...