Recent content by Koiya

  1. Koiya

    Enzi zetu zile sio kama leo

    Hahaaaaaaaaaaaaa unanikumbusha mbali sanaaaaaaa!!
  2. Koiya

    Clouds FM yaishambulia JamiiForums

    Yote hayo yamekuja baada ya 'mtu fulani' kutaka KUNUNUWA NDEGE. Hahaaaaaaa.
  3. Koiya

    Irene Uwoya: Msanii anayenivutia Bongo

    Mzuri Bimkora??? ahaaaa
  4. Koiya

    Irene Uwoya: Msanii anayenivutia Bongo

    Kwakweli nimzuri ila tabia yake ni mbaya, heshima ni 0
  5. Koiya

    CHUKI PARTY na LADY JAY DEE"commando binti machozi"

    Hiyo CHUKI PARTY tunahisubiri kwa hamu kubwa!!!
  6. Koiya

    Kukuku Hadija yule.. kwako wapi?

    Mkuu umeusahau mchezo wa Kipande.
  7. Koiya

    Kunguru katua juu ya kichwa changu, nashauriwa niende Bagamoyo, ni sahihi?

    Kunguru huyo alikuwa na njaa. Kama njiwa ningekwambia nenda kwa mzee wa upako
  8. Koiya

    Picha za warembo siku ya Valentine

    Ovyooooooo!!!!
  9. Koiya

    Sio kila ombaomba anahitaji msaada- be careful

    Habari ya NYOKA MTU unanikubusha mbali
  10. Koiya

    Tujikumbushe enzi za madaladala maarufu

    Muhimbili-Kariakoo = Kobombe tours
  11. Koiya

    Tujikumbushe enzi za madaladala maarufu

    Temeke - Posta Fia Bus Muhimbili - Kariakoo
  12. Koiya

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Pengine Muro ni wa Usalama wa Taifa. Haaaaaaaaaaa
  13. Koiya

    Chama Kipya (CCJ) na Hatima ya CCM - lisemwalo...

    Wameona chama chao (CCM) kinanuka ufisadi wakaamua kuanzisha chama chengine wapate kuwatia changa la macho wananchi waone mafisadi papa wametoka CCM hili wapate kupigiwa kura.
  14. Koiya

    Tukumbushane: Wimbo bora wenye jina la kike...

    Nafikiri utakuwa ni huu. "Mapenzi yetu yalikua ni hasara Roza, Mganga aliekupa dawa ni hadui yangu, dawa ahaliokupa ni sumu mwezangu .............., hivi ndivyo hulivyotaka kunitoa roho yangu.........."
  15. Koiya

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Ni pambo tu. Lakini wazee wetu wa zamani wanasema ukivaa hicho kicheni cha mguu wanasema unatoa tigo au malaya.
Back
Top Bottom