Picha za warembo siku ya Valentine

P1010095.JPG
kwa nn hukumwambia atoe hiyo kaptula abaki na bikini? mbona bikini imetulia kabisa hiyo!
 
Hapa Style yao ya kukaa ni ya ajabu sana maana unaweza kuona kama vile watu wageni katika mambo haya
 
Ndugu kama mambo ndivyo yalivyo kuwa naona siku hiyo tuiite siku ya wahuni na wasambazaji virus vya ukimwi,siku ya wapendanao sio siku ya ngono na kutembea na vichupi,

Unajua sisi wa tanzania tatizo ni ushamba wetu tunapapukia mambo bila kujua maana yake halisi

This is cultural imperialism,kwa mtindo huu msemo wa tanzania bila ukimwi utakuwa ni ndoto

Elisante Yona
 
no comment kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom